Tall building a threat to Ikulu

babuwaloliondo

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
378
174
By Bernard James
The Citizen Reporter
Sunday, 07 August 2011


2.png



The construction of a controversial 19-storey building overlooking State House has prompted security concerns, and the government has demanded to know who authorised the project in the area.The Citizen on Sunday has reliably learnt that State House has come down hard on authorities responsible for urban planning and issuance of building permits, requiring them to explain why they approved one of the tallest structures in the city to be built near the President's official residence and office.

The approval is in breach of urban planning and security regulations, which set a height zone limit of six storeys in the area. The building, which is located on Chimala Street, near Ocean Road Cancer Institute, is a joint venture between Palm Residence Limited and Tanzania Building Agency (TBA).

"The sanctioning of the project is a good example of how urban planning laws are routinely violated even by government agencies," Land, Housing and Human Settlements Development Permanent Secretary Patrick Rutabanzibwa said.

"We have to reach a point where such irregularly built structures are pulled down...short of that there will never be any discipline in observing construction regulations," he added.

A senior Ilala Municipal Council official, who requested for anonymity because he is not authorised to speak to the media, told The Citizen on Sunday that he was among several people summoned to State House over the matter. However, The Citizen on Sunday could not get State House's reaction, with Chief Secretary Philemon Luhanjo saying yesterday that he was attending an important meeting and was not in a position to comment.

The erection of the structure, which began three years ago, disregards the 1979 Dar es Salaam Master Plan, which set the six storeys as the maximum height for private buildings around State House. Mr Rutabanzibwa said the limit was deliberately set for security reasons.The project also contravenes the Dar es Salaam Central Area Redevelopment Plan of 2000, jointly prepared by the Lands ministry and Ilala Municipal Council, and which bans such structures in the vicinity of State House.

TBA Executive Director Makumba Kimweri admitted that the agency issued the building permit for the structure, adding that he was aware that the project contravened regulations. However, he could not explain why the regulations were flagrantly violated.

Under Section 28 (d) of the Urban Planning Act, 2007, only the municipal planning authority has powers to consider applications and grant permission for land development in any part of the city.This newspaper has seen at least three letters the Lands ministry wrote to TBA, asking the agency to explain how and why the project was approved contrary to regulations, but Mr Kimweri has denied receiving any of them.

"So far we have not received any communication from the Lands ministry over the issue," he said in a written reply to The Citizen on Sunday late last month.

Several sectoral stakeholders have pinned the blame on both the Lands ministry and the Ilala Municipal Council, saying they could have stopped the project much earlier. They said many developers had shown interest and even sought permission to erect high-rise buildings near State House, but their requests were turned down on security grounds.

The projects include the multi-billion-shilling Mwalimu Nyerere Foundation House, which was to be built on Lithuli Street, a few metres from the State House main entrance. The project was quickly halted when preliminary work had already begun, and relocated. Some real estate and property management experts dismiss the security threat aspect in barring the undertaking of such projects near State House as unfounded. They say advances in security technology means that high-rise buildings should not be such a thorny issue.

"With the technology we have today, such structures are no longer a security threat. Today's technology can be used to monitor virtually everything going on in buildings near sensitive facilities," said a senior official with the Construction Registration Board, who asked for anonymity due to the sensitivity of the matter.

He said the government should consider changing the building's use instead of pulling it down as this would have far-reaching adverse implications.Last week, Prime Minister Mizengo Pinda told Parliament that the matter had already been discussed by senior government officials, adding that it had been forwarded to President Jakaya Kikwete for his final decision.

"We are very much aware of the issue, which has now been forwarded to the President for action. I ask you to be patient until the President gives his word," he told MPs.A government official familiar with project said State House had been holding talks with the developers on the possibility of the floors beyond the height limit to be reserved for government use.The State House is mostly surrounded by government buildings for security reasons. The headquarters of a number of ministries and state agencies are located in the area.



source :
 
Baada ya kuwachekea wafanyabiashara, sasa mambo yanazidi kupamba amoto. Tayari wameshaiweka serekali mfukoni, na ikulu nayo ishaingizwa mfukoni.

Embu agalia ilivyo security risk, hapo si mtu anaweza kusimama kwa mbali na kulenga ikulu. Si mbali utasikia "Serekali kujenga Ikulu mpya nje ya jiji kupisha ujenzi wa hoteli ya kitalii".
 
Sharobaro na baba yake wana hiana, walikataa Nyerere Foundation wasijenge jengo refu kisa mkasa Magamba walisema CCJ inafadhiliwa na Nyerere Foundation
 
GOOOOOD, NADHANI SASA UMUHIMU WA KUHAMIA DODOMA UTAPATA MSUKUMO WA AINA NYINGINE,

huyo patrick mwenyewe ni fisadi, akae kimya
 
Hawa ikulu hawana lolote...wamemkubalia tanil kubomoa na kujenga upya ukuta(kaurudisha nyuma mita 10 )kwnenye nyumba ya makamu wa rais...ili kupata njia kupita magari kwa ajili balozi mmoja wa nchi za africa ili amuachie nyumba anayoishi ili tanil apate viwanja 3 vya pamoja kwa ajili ya matakwa yake pale ali hassan mwinyi na kaunda!!ufisadi mkubwa na hata mdogo wamo tu....
 
Yaleyale ya " kwanini fulani", achana na habari ya nani alikuwa wapi, ebu tujiulize؛‎ ni mtanzania gani ambaye ama anahusika na kutoa vibali vya ujenzi ama usalama wa raia/taifa/ikulu ambaye toka mpango wa ujenzi wa jengo hilo mpaka unamalizika hawawahi kupita mtaa ule?.
 
Hao wote wanaohusika inaonekana hawakuliona hilo hapo mwanzoni, lakini dunia inakoelekea sasa, ndio wameshtuka! Pia ni uzembe tu wa idara ya usalama wa taifa (TISS). Walitakiwa wapinge mapema hilo, lakini sijui walikuwa wapi. Huwezi kujanga majengo marefu karibu na ikulu.

"With the technology we have today, such structures are no longer a security threat. Today's technology can be used to monitor virtually everything going on in buildings near sensitive facilities," said a senior official with the Construction Registration Board, who asked for anonymity due to the sensitivity of the matter"

Huyu jamaa aliyesema hayo anaishi dunia ipi? Hajui nini kinaendelea kwenye dunia ya leo? Sisemi mengi
 
Ikulu hawakuona wakati hilo ghorofa linajengwa? Chiligati alikuwa waziri wa Ardhi, kwa nini hakuzungumza wakati ujenzi unaendelea?

Yaani ni kitu cha kustaajabisha sana!!! Wakati ujenzi wa ghorofa hilo unaanza hakuna aliyetia neno, walikuwa wanaona ghorofa zinaongezeka lakini wakawa kimyaaaa sasa jengo limemalizika kujengwa tena baada ya ujenzi wa miaka kadhaa ndiyo wanashtuka!!! Yaani ni usanii wa hali ya juu na kushindwa kuwajibika kwa kiwango cha juu kwa wahusika mbali mbali.
 
The threat to Magogoni died with Nyerere, security officials can now relax!
 
kweli hii ni security threat..inawezekana sio leo lakini in the long run it is ery dangerous hii nchi in ten to 15 years itakuwa tofauti hawa wahusika hawalioni hili hata maisha yao wenyewe wanaweka hatarini kwa tamaa zao.haya yetu macho wasije sema hatukusema
 
TBA Executive Director Makumba Kimweri admitted that the agency issued the building permit for the structure, adding that he was aware that the project contravened regulations. However, he could not explain why the regulations were flagrantly violated.RUSHWA
 
Na wizara ya ardhi je ina ghorofa ngapi? Bush mwenyee wakati anakwenda pale ikulu wanausalama wake walimua siku hiyo wafanyakazi wa ardhi wote wapewe day off na na kule summit ya jengo mijamaa yao ndo ika take cover
 
Makao makuu ya nchi ni DODOMA-Chamwino ndipo ilipo Ikulu, hii ya Dar ni Hosteli ya kupumzikia president akiwa kwenye mishemishe zake na safari.
 
Hawa bora wangekaa kimya tu kuliko kupayuka. Kwani hawakuona kuwa ujenzi utakiuka limit iliyowekwa? Hawakuona gorofa ya 5 ikijengwa? ya 6 je? na hawakuona pia maandalizi ya gorofa ya 7?

Hawa watawala wa kulialia na kulalamika hakika hawatufai kabisa.
 
May be katika revised master plan by 2011 Ikulu ilitakiwa kuwa Dodoma teh teh teh
 
Ukiwa hauko serious ata walio chini yako watakukanyaga tuu!
Naona security ilikuwa enzi za mwalimu bwana nowdays ni scurity ya matumbo kwanza
 
Kuna watu wamepewa floor hapo za kujikimu, hayo mambo ya security hawayafikirii sana! Haya ndiyo yaleyale ya kila kitu legelege mpaka kuvuka barabara wakati mtu anaona gari iko mwendo kasi inakuja
 
Mzee haya haya yako si yote ni yale yale tuu.. haikwepeki, kila hatua/ muhusika aulizwe na kuchunguzwa... CHILIGATI ANALA KUJIBU HAPA.
 
Back
Top Bottom