Tall building a threat to Ikulu

Kikwete huyo!!!

He never act!!

Last week, Prime Minister Mizengo Pinda told Parliament that the matter had already been discussed by senior government officials, adding that it had been forwarded to President Jakaya Kikwete for his final decision.
 
haya wote mmetuhumu watendaji lakini j yeye rais mwenyewe alikuwa wapi asikemee hilo swala kwa usalama wake? au yeye hatakiwi kusema chochote pale anapoona maisha yake yapo hatarini? But ukweli ni kwamba with these movies llike 24 hrs,Nikita, ALLIAS and criminal minds. together with James Hadley chase novels, national security should be smart. otherwise Ikulu haipo mbona??????
 
Haya mambo yanategemea na usiri wetu. Vilevile nikiri kuwa sijui walio kwenye lile jengo refu wanaweza kuona nini cha siri kule Ikulu. Buckingham Palace ipo karibu sana na majengo marefu kama mahoteli na ukitaka kuona hiyo palace vizuri kutoka juu basi nenda kwenye ile Hotel.
 
MI niishauri serekali ilinunue jengo hilo ili walitumie kwa shighuli za ki usalama zaidi, au lipewe kwa usalama wa taifa. si sahihi kabisa kwa jengo refu kama hilo kujengwa ikulu. kama kawa serekali ilikuwa imelala mpaka likafikia hapo, TAKUKURU mpo hapo??.

Ulisikia biashara kichaa, Ndio hiyo. A wali kulikuwa na nyumba za serikali, akauziwa mfanyakazi kwa laki kadhaa, mfanyakazi akachangamkia dili akaiuza kwa wadosi kwa mamilioni ya kutakata, mdosi akapandisha jingo kiasi cha Ikulu kuiangalia kwa chini.

Serikali unataka kupangisha ghorofa za juu kwa bei yoyote ile.

Mind you, wafanyakazi waliouziwa hawakutakiwa kutransfer kwa Hali hiyo assumption ni kuwa serikali bado inamiliki mpaka muda uliotajwa kwenye mkataba iwe umeisha.
 
Wakuu tuangalie na nje ya box. Ikulu za wakuu wa kaya wengi duniani zimezungukwa na magorofa marefu Yakiwamo ya watu binafsi:mfano white house ya marekani,makao Makuu ya umoja wa mataifa ambapo wakuu wa nchi zote 193 duniani hukutana Kila mwaka na bado sio tatizo kwani ikulu yetu iko Kama vile vyoo vyetu vya uswahilini kwamba mtu akiwa kwenye gorofa anapata kuona Live?kuna watu wanalipwa pesa nyingi sana na serikali yetu kwa kazi hizo za security threats and analysis.It's now time to come up with new ideas or improve their previous plans,hiyo ni changamoto waifanyie kazi.Ikulu isiwe kikwazo cha kuendeleza mji na watu wa usalama waje na mipango mipya.Kama ujenzi umefuta taratibu zote sioni kwanini iwe issue.
Napingana na wewe hakuna gorofa refu karibia na white house...angalia vizuri ramani ya Washington dc ama satelite pictures kama hujawahi kufika huko..
 
Mji ushakuwa Mdogo watafune ikulu nyingine sasa ...watu wainue Majengo Wapige Hela

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

AUG132013



JENGO la ghorofa 19 lililojengwa karibu na Ikulu ya Dar es Salaam linadaiwa kuhatarisha maisha ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, UWAZI limefuatilia kwa umakini.

Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, jengo hilo ni refu sana na waandishi wetu waliingia humo mpaka ghorofa ya 19 kisha kuona ukaribu uliopo na kubaini kwamba ni hatari kwa usalama wa ikulu na rais mwenyewe.

Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili walisema kutokana na ghorofa hilo kuwa karibu na ikulu maadui wanaweza kulitumia kwa kupanda hadi juu na kuona kinachofanyika ikulu hivyo kama ni wenye nia mbaya wanaweza kutekeleza uhalifu kirahisi.


MMILIKI WAKE ANA ASILI YA NJE
Jengo hilo linalodaiwa ni la kigogo Mbongo mwenye asili ya Asia (jina tunalo) limekuwa kero katika eneo hilo kiusalama jambo ambalo limesababisha serikali kuingilia kati na kuwasaka walioruhusu ujenzi wake na kuwaburuza kortini.

Baadhi ya wakazi wa jijini Dar waliwalaumu viongozi wa serikali kwa kuacha ujenzi wa ghorofa hilo hadi kumalizika na watu kuhamia ndipo wakachukua hatua.




"Lazima tukiri kwamba kuna matatizo ya utendaji katika serikali yetu. Haiwezekani jengo linafikia ghorofa kumi na tisa ndipo serikali inaona, tunaamini walikuwa wanaona lakini waliamua kukaa kimya mpaka waliposhtuka kwamba, kumbe mtu akiwa juu anaweza kuchungulia ikulu kwa JK," alisema mwananchi mmoja kwa sharti la kutotajwa jina.
WALINZI WA OBAMA WADAIWA KUWA CHANZO
Kuna habari kwamba, ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama nchini Tanzania Julai Mosi, mwaka huu ndiyo ulioibua mambo mengi juu ya kuwepo kwa jengo hilo kwani maafisa wake wa usalama walikataza watu kupanda hadi ghorofa ya 19 kwa maelezo kuwa wamegundua ni hatari kwa maisha ya viongozi, hasa Rais Obama aliyekuwa ikulu na JK.




Kikosi cha Majasusi wa Marekani (FBI) waliotangulia nchini miezi minne kabla ya ujio wa Obama ndiyo walioishtua serikali kwa kuwaambia watu wa usalama kuwa urefu wa jengo hilo ni hatari kwa ikulu kwa vile maadui wanaweza kulitumia.

FBI WALITEGA MITAMBO YAO JUU YA JENGO

Uchunguzi unaonesha kwamba, kwa vile FBI waliamini usalama wa ikulu ni mdogo kutokana na jengo hilo hivyo walilazimika kuweka mitambo yao juu yake na kuendelea kuwepo hapo kwa saa ishirini na nne kipindi chote cha ziara ya Obama.

FBI WALIONDOA MAGARI CHINI YA JENGO
Vyanzo vyetu vya habari ndani ya ikulu vililitonya Uwazi kuwa, mbali na FBI kuweka mitambo yao ya kiusalama, pia walilazimika kuondoa magari yote yaliyokuwa yamepaki chini ya jengo hilo na kuitahadharisha serikali ya Tanzania kuwa makini na ghorofa hilo.

WAPENDEKEZA JENGO LIVUNJWE
Habari zaidi zinasema FBI hao walipendekeza jengo hilo livunjwe ama liwe la serikali na waishi wana usalama wanaolinda viongozi wa kitaifa.

"Baada ya FBI kutoa taarifa hizo ikulu ndipo ‘mchawi' alipoanza kutafutwa hadi kufikia hatua ya kukamatwa walioruhusu ujenzi huo," kilisema chanzo.

KILA KITU KINAENDELEA
Waandishi wetu wamegundua kuwa pamoja na tahadhari iliyotolewa na FBI juu ya jengo hilo, lakini bado shughuli za kila siku zinaendelea sambamba na watu kuishi.

WALIOTOLEWA ‘KAFARA' NI HAWA
Hivi karibuni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na Msanifu Mwandamizi wa Majengo, Richard Maliyaga walipandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashitaka ya kutumia madaraka vibaya kwa kuruhusu ujenzi wa ghorofa hilo karibu na ikulu.

Washitakiwa hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka na Wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai mbele ya Hakimu Mkazi Sundi Fimbo.

Washitakiwa walikana mashitaka na kuachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini watatu wafanyakazi wa serikali waliosaini hati ya shilingi milioni 50.





Souce: Gazeti la Uwazi via Global publisher











 
Kwa maana hiyo hao wanaojiita Usalama wa Taifa hili ni mazuzu kabisa. Iweje wasigundue hilo mapema? wao ndio wenye kazi ya kuhakikisha usalama hasa wa Ikulu, au wanajua tu kukimbiza misafara na kutugandisha barabarani weeeeeee! hovyo kabisa
 
Maisha yetu huku mitaani ndio yako hatarini sio Ikulu!!! Siku hizi hata simu unaporwa kwa bastola ikibidi unalambwa na risasi!!!!

Tatizo la ujambazi ni out of control sasa,tujadili usalama wetu wananchi si wa Ikulu inayolindwa 24/7 na majeshi yote!!!
 

Ulafi wetu hatuangalii ULINZI wa RAIS wetu tunajali hayo MATUMBO YETU... Na tukaambiwa ni kosa; Lakini tukaacha Mpaka likamalizika hilo JENGO... Bado hatukusikia

Sasa tunaambiwa Owner wa JENGO sio Raia wa TANGANYIKA au ZANZIBAR ni FOREIGN INVESTOR sasa ina Maana pia Ana MKONO wa kutuchagulia RAISI?

LAW and POLICIES are DEAD in our beloved Nation????
 
acha maisha yake yawe hatarini kwani nasisi tumechoka na udhaifu wake... nasema yawe hatarini... kwa kuwa hataki kusikiliza watanzania... ehhh maaana kama hataki kutusikiliza na yeye anajiona ni mwamba acha akutane na mwamba wenzake... na maisha yake yatazidi kuwa hatarini kwa huu usanii anaouleta katika issue ya madawa ya kulevya,.. hatakuwa salama kabisa.. hatakuwa salama nasema... watanzania wamekufa sana... kwa usanii wake...
 
This list of tallest buildings in Washington, D.C. ranks high-rises in the U.S. capital city of Washington, D.C. The tallest structure in the city, excluding radio towers, is the Washington Monument, which rises 555 feet (169 m) and was completed in 1884. The structure, however, is not generally considered a high-rise building as it does not have successive floors that can be occupied. The tallest habitable building in the city is the Basilica of the National Shrine of the Immaculate Conception, which rises 329 feet (100 m). The second-tallest building in Washington is the Old Post Office Building, which is 315 feet (96 m) high. The third-tallest building in the city is theWashington National Cathedral, which rises 301 feet (92 m) above grade. The cathedral is built on high ground known as Mount St. Alban, 400 feet (120 m) above sea level, which makes the central tower the "highest" point in the District.[SUP][1][/SUP] As of November 2011, there are 410 completed high-rises in the city.

Washington's history of sky scrapers began with the completion in 1894 of the 14-story Cairo Hotel, which is considered to be the city's first high-rise.The building rises 164 feet (50 m) and 14 floors.[SUP][3][/SUP] Washington went through an early high-rise construction boom from the late 1890s to the mid-1930s, during which time the Old Post Office Building and the Federal Triangle were built. The city then experienced a major building boom from the early 1940s to the late 1990s, during which the city saw the completion of 31 of its 48 tallest buildings, including One Franklin Square and 700 Eleventh Street. However, although the city is home to several high-rises, none are considered to be genuine "skyscrapers"; only two completed buildings surpass 200 feet (61 m).


The height of buildings in Washington is limited by the Height of Buildings Act. The original Act was passed by Congress in 1899 in response to the 1894 construction of the Cairo Hotel, which is much taller than the majority of buildings in the city. The original act restricted the heights of any type of building in the United States capital city of Washington, D.C., to be no higher than 110 feet (34 m), 90 feet (27 m) for residential buildings. In 1910, the 61st United States Congress enacted a new law which raised the overall building height limit to 130 feet (40 m), but restricted building heights to the width of the adjacent street or avenue plus 20 feet (6.1 m); thus, a building facing a 90-foot (27 m)-wide street could be only 110 feet (34 m) tall.[SUP][5][/SUP] However, building heights are measured from the sidewalk or curb to the edge of the roof. Architectural embellishments, mechanical rooms, and common rooftop structures may be exempted from the overall height limit, provided they are setback from the roof line.The heights of buildings listed here may therefore exceed the general height limit as measured for the purpose of the city's zoning laws.
In modern times the skyline remains low and sprawling, keeping with Thomas Jefferson's wishes to make Washington an "American Paris" with "low and convenient" buildings on "light and airy" streets.Washington's height restriction, however, has been assailed as one of the primary reasons why the city has inflated rents, limited affordable housing, and traffic problems as a result of urban sprawl. To escape the District's height restriction, architects wishing to construct higher buildings close to downtown often do so in Rosslyn, Virginia, directly across the Potomac River from Georgetown.+

One of the most recently completed buildings in Washington, D.C. is Capitol View, which is 171 feet (52 m) high. As of July 2008, there is one high-rise under construction in the city that is expected to rise at least 150 feet (46 m), with one more proposed and one approved for construction. Onyx on First is the only high-rise under construction in Washington; upon completion, it will be the 14th-tallest building in the city.Two other large developments taking place are Square 54 Residential I, which is proposed for construction, and the PNC Bank Building, which is approved. The Square Residential I building at George Washington University is expected to rise to a height of 160 feet (49 m) and 14 stories, while the PNC Bank Building is expected to rise to a height of 151 feet (46 m) and 12 stories. As of July 2008, there is a total of four high-rise buildings under construction, approved for construction and proposed for construction in Washington.

 
miye siyo mtaalamu, lakini kwa uelewa wangu mdogo wakala wa majengo (TBA) hawahusiki na kutoa vibali vya ujenzi ila ni ofisi ya municipal ndiyo wahusika. hivyo huyo afisa mtendaji mkuu wa TBA atakuwa amefikishwa mahakamani kwa kosa lingine lakini siyo kutoa la kutoa kibali.
 
ukiangalia mchakato wa hili jengo lilivyosimama hapo lilipo utakuta hawa wasiochukua hatua ndio wamiliki na wanasikilizia zali kwa malengo yafuatayo:
1. Either wanataka (kwa mawazo yao) rais ajaye asiwe na uhuru wa kufanya kazi maana watakuwa wanamchungulia kila
wakati.
2. wanajua kuwa serikali (iliyo makini) haitakubaliana na hilo jengo kuwepo hapo hivyo kuamua kulinunua ambapo wataset
bei za juu mara hata 10 ya gharama halisi.
3. Au yote hayo yasiwe lakini ni udhihirisho wa ni jinsi gani Watanzania (sote) walivyo wapumbavu hata kwenye mambo
ya msingi!
 
Back
Top Bottom