Taliban Waanza Kukata Vidole Vya Wapiga Kura Afghanistan

mambo ya mswalie mtume hayo,watajuuta kujifunza misimamo mikali...........
 
Hivi hasa Taliban wanataka nini? Kutawala nchi kwa njia ya mtutu wa bunduki au vipi. Kama kuna mtaalam wa maswala ya wa Taliban anifahamishe!!!Kukata watu vidole ni kukiuka misingi mikuu ya haki ya binadamu. Wapiga kura walikwenda kuchagua viongozi ambao watakao ongoza nchi ya Afghanistan



Swala lako nizuri sana! Talibani wao wako kwao, chakujiuliza zaid ni, hawa wamarikani na wafuasi wake wanataka nini Afghan?
 
Hii JF sasa inaonekana watu hawana uwezo tena wa kufikiri, kuwalaumu talibani na kuwapongeza wamaririkani na wenzake ni ujinga.

Wamerikani na wenzake ndo waliovamia afghan wakati talibani ndo watawala, sasa leo iweje wamerikani wawe watakatifu?

Kama kulaumu dini sio uislam, ni hawa wafuasi wa Paul ndo waliovamia nchi ya waafghani, wakati huo president wao Bush anadai kapewa upeo toka mbinguni kuvamia afghani. tusiwe wavivu wa kufikiri!!!
 
inaweza+kutokea+zenj.jpg
 
Hivi ndivyo mnavyo fundishwa msikitini. Kweli madrasa ni laana na kansa ya kizazi hiki.

Mkuu unashanga hilo ?Binafsi nashangazwa na Gays kuwa watumishi wakanisa na huongoza hizo misa .upsss wanakenda na wakati .
 
Back
Top Bottom