Takukuru siwaelewi na kazi yao

ANDEMBILE

New Member
Mar 15, 2014
2
0
Takukuru walitangaza ajira na wameshafanya michakato yao yote wamemaliza, walianza na Aplitude test na wakatoa majibu yaani maksi, kisha wakakata majina watu waliotwa makao makuu kwa ajili ya oral interview na kisha juzi juzi wametoa matokeo, ila cha kushangaza nimekuwa nikifanya uchunguzi kidogo kujiridhisha na kauli aliyoitoa Mhe Samwel Sitta tarehe 8 April jijini DSM kwamba nanukuu ''...... sisi wengine tutakalolisimamia kwelikweli ni kutengeneza katiba ambayo ina mifumo imara na taasisi zilizo bora si kuweka kama hii TAKUKURU ya sasa ambayo ni kichekesho tu......''
kwa muda mfupi tu nimelinganisha majina ya walioitwa kwa ajili ya interview na waliopata kazi kuna majanga ambapo kwa mfano majina ya hawa wa MASS COMMUNICATION AND JOURNALISM katika link hii http://www.pccb.go.tz/images/storie...terview/JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION.pdf Kuna jina la wale walioitwa kupata kazi ama waliopita kwenye oral interview halipo kwenye michakato mingine bali ni kwenye ajira tu. kwa upande huu wamechukua watu 5 majina manne yalikuwemo kwenye michakato mingine lakini hili la TEZRA NKONYA halimo ila limetokea kwenye ajira tu kama inavyoonekana kwenye link hii http://www.pccb.go.tz/images/stories/adverts/TANGAZO - WALIOITWA KAZINI.pdf
Na hii ni kwa kozi hii tu nimeangalia sasa sijui kwenye kozi zingine kama kuna madudu au la
Kama kuna mwenye ufafanuzi juu ya hili atufafanulie ili tuweze kuendelee kuiamini TAKUKURU
 
Hata wasipotoa ufafanuzi, watuwataenda kwenye mafunzi na wataanza kazi. Mwaka mwingine wata fanya the same. Business as usual, kila mtu yupo kimya hamna wa kuwakemea.
 
Back
Top Bottom