Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Mnazi Mmoja Primary School(opposite makao makuu ya ccm),kipindi nchi ina heshima na adabu,Lunch ya nguvu siku mbili kwa wiki,uji asubuhi (nasikia ulikuwa msaada kutoka shirika la maendeleo la USAID).
 
Back
Top Bottom