Taja jina la mpigania haki yoyote aliyeuwawa katika mazingira yakutatanisha hapa tanzania.

Aliyehusika yule yule babu alizabuliwa kofi msikitini?
labda, maana miaka zaidi ya ishirini sasa mwanga umeshakuwa mkubwa juu ya swala hili japo ufuatiliaji wa mambo kwa Watanzania uko slow mno. Cha msingi hili dili lilihusisha mlolongo wa watu kadhaa.
 
Back
Top Bottom