Taja jina la mpigania haki yoyote aliyeuwawa katika mazingira yakutatanisha hapa tanzania.

1.chacha wangwe- aliuawa na kina mbowe na dr slaa kwa kuwa alikuwa anataka uenyekiti wa chama kumtoa bi kilembwe(mbowe) wakatengeneza ajali kupitia kijana milya wakamuua kimafia
2.dada yake wa damu na mbowe- kauawa kwa ajali ya kutengenezwa na dj mbowe mr zero muda mfupi baada ya kuhama chadema na kuamia chama cha watanzania CCM na kuwa na nia ya kugombea ubunge ktk jimbo la HAI ambalo kwa sasa linafilisiwa na freeman mbowe.

Zero, toa ujinga wako hapa,unaleta upuuzi tupu humu
 
Khasim Hanga ,,,alikuwa msaidizi wa Abeid Karume,,,mpaka leo hii haijaonekana maiti yake wala kaburi yasemekana alitoswa baharini
 
Chacha Wangwe aka Ras, aliuliwa kikatili kwenye ajali ya kutengeza hapa Dodoma. Kamanda Wangwe alipigania mgawanyo wa ruzuku ufike hadi ngazi ya wilaya na sio kuishia makao makuu ambapo huishia kutafunwa na mafisadi na mahawala zao. Pia alipinga upendeleo wa kikanda katika ugawaji wa uongozi hasa viti maalum vya ubunge. Kijana aliyemmaliza kwa sasa amezawadiwa kazi makao makuu ya CDM.
aliuliwa na mbowe ili asigombee uenyekiti.mbowe utawamaliza wenzako.sasa zamu ya zito
 
nataja mie
1---mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa luteni jenerali imran kombe ,ilisemekana alifuatwa na maaskari toka dsm na ilipofika ms awalimtoa roho kwakumiminia risas, kiongozi huyu alipigwa risasi na askari polisi ambao inasemekana walikuwa wamemfananisha na jambazi su
nitajie wengine na ufafanuzi .


chacha wangwe !
 
mpuuzi mimi au wewe ambaye unapenda kusikia habari nzuri tu zinazoihusu cdm, mbona wewe unashabikia sana habari za kutunga zinazohusu ccm ,serikali au vyama vingine? tumia aakili usitumie ma------ kufikiri
hebu endelea kukuna nazi huko,kumbe naongea na msukule

Zero, toa ujinga wako hapa,unaleta upuuzi tupu humu
 
Back
Top Bottom