> Mashati ya ndege au Juliana!
> Raba mtoni
> Kufuga nywele tukiita Afro
> 1979 wajeda wanatoka Uganda mashati ya slimfit na miwani za tinted, saa Mortima, suruali ya kitambaa kabardin.
> Mashati ya ndege au Juliana!
> Raba mtoni
> Kufuga nywele tukiita Afro
> 1979 wajeda wanatoka Uganda mashati ya slimfit na miwani za tinted, saa Mortima, suruali ya kitambaa kabardin.
Umenikumbusha mbali mkuu. Ukipanda mabasi hayo lazima upandie mlango wa nyuma kisha unakutana na konda na kimashine chake cha kukatia tiketi then unateremkia thr mlango wa mbele.
Enzi hizo maisha yalikuwa bora sana.
1. Elimu ilikuwa ni bure toka darasa la kwanza mpaka chuo kikuu (serikali inalipia).
2. Matibabu yalikuwa ni bure kwa kila mtu, hata ukihitajika kupelekwa ulaya serikali inalipia kila kitu (na huduma zilikuwa safi sana, madaktari walikuwepo, na madawa yalikuwepo, pia wauguzi wote walikuwa wanafuata maadili ya kazi zao).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.