taja elimu yako........

Udaku naweza kusema ndiyo Fani Pekee ambayo sikuisomea na ninaimudu kuliko fani nyingine zote..

Vipi majibu ulishachukua?
majibu ya nini? Ya maombi yangu ya mkopo wa bilioni tano barclays? Nshayachukua ndiyo,nimekubaliwa.
 
mhhh Erickb52 mbona sijawahi sikia elimu au degree ya PHE au ndo mpya hiyo ya kujifunza kuchukua wake za watu nini
Ahhh umenipa sifa sana mimi niliishia la pili na sasa hivi nauza maandazi na kilimo hapa Hungumalwa
mmmmmhhhh kuna inteneti huko?
Erick mwache dawa yake inachemshwa na The secretary,kazidi kumsarandia wakati ye hamtaki.
 
Last edited by a moderator:
mmmmmhhhh kuna inteneti huko?
Erick mwache dawa yake inachemshwa na The secretary,kazidi kumsarandia wakati ye hamtaki.

Bishanga tunapanda juu ya mti ndo tunajibu humu jeiefu Erickb52 anajidai ana PHE wakati namjua anauza karanga za kuchemsha soko hapo arusha Arushaone nae anajidai amesoma wakati anauza urembo wa kimasai tena kwa kuwavizia wazungu pale via via na aliishia chekechea pale green acre
 
Heheheheheee Mr Rocky niliamua kujiendeleza kidogo ndio nkapata hivyo vi Ph.com alivoorodhesha Bishanga
 
Last edited by a moderator:
sawa bro Bishanga ntafanya hvyo, nilikuwa naona haya ku2ma maombi direct
 
Last edited by a moderator:
Elimu yangu nimeisahau..sisi enzi hizo tulikuwa tunaambiwa tu kwamba tayari umemaliza shule.
Tulikuwa hatupewi cheti,nimesahau nilisoma miaka mingapi lo!
 
Mie ni hastashahada ya chuo kikuu cha upendo university college of tanzania kipo barabara ya samnujoma road hostel zipo barabara ya pugu road zamani ilijulikana barabara ya nyerere road karibia na jengo la quality plaza building.
 
Back
Top Bottom