Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Hali wali mkavu....labda uwe bokoboko!mgaagaa na upwa! Hali wali mkavu! Mzima wewe erick?
Mi mzima kabisa nimejaa tele nakula zangu weekend homeeeee
Hali wali mkavu....labda uwe bokoboko!mgaagaa na upwa! Hali wali mkavu! Mzima wewe erick?
x wangu vile vyeti vyako si ulikwapua kule harua wakati ule ukiwa mstari wa mbele kumfukuza nduli au umesahau.