Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 793
- 58
Bado dakika ngapi?
Shida dogo anakula sana Jani....
Ngasa ndio mwisho wa reli anawakimbiza kichizi vidingi hivi
Kama ndiyo starter ya kupiga mabao, mwacheni tu. Mbona wengine hawaendi kitandani na demu bila Konyagi?!
Masatu tupe dakika zilizo salia mkuu tafadhali.
Kama ndiyo starter ya kupiga mabao, mwacheni tu. Mbona wengine hawaendi kitandani na demu bila Konyagi?!
Wabongo wanaimba kichizi jukwaani kuna wamasai siji wametoka wapi na lubega zao duuh noma kichizi
Dakika 88 bado Starz wanaongoza 2-1 na tunawashambulia kisawasawa vbijana wana confidence kubwa
Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.
Bravo Maximo! Bravo Stars
Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.
Bravo Maximo! Bravo Stars