Taifa stars vs Mozambique.

Mkuu nashukuru kwa kuliona hilo, hawa washabiki wa Ndala wanafiki sana kama wazee wao kina Yusuf Mzimba na Ibrahim Akilimali, juzi hapa stars imeshinda ikaitwa timu ya Taifa leo imetolewa inaitwa Simba wananiudhi kweli, ndo maana walipigwa mkono.

hiloo ni li simba stars halina mwelekeo,. Weka watu wazima wapige kazi sio kutujazia wavuta bang ambao super coach maximo aliwakataa we unawaludisha
 
WASHAFUNGWA 7 - 6 kwa penalty baada ya kucheza 120 minutes na tumetolewa kama kawaida YETU.
 
hiloo ni li simba stars halina mwelekeo,. Weka watu wazima wapige kazi sio kutujazia wavuta bang ambao super coach maximo aliwakataa we unawaludisha
Watu wazima gani ulitaka waitwe, wameshindwa kuisaidia timu yao halafu unataka waitwe timu ya Taifa acha wacheze chandimu na kocha wao Maximo pale Kaunda halafu ligi kuu ikianza tuwapige zingine tano.

Watu wazima kama hawa.
View attachment 56652

au badala ya Kaseja kukaa langoni angekaa huyu jamaa kwenye neti sijui anaitwa nani.
View attachment 56653
 
Wikiend nimeimaliza safi kabisa, ko mtaludi lini simba stars
Mkuu wewe malizia wikend yako vizuri na kama unakunywa kunywa kwa kiuajibikaji tuache sisi na timu yetu ambayo wewe unaiita Simba, ikifungwa yetu ikishinda yetu.
 
Mkuu wewe malizia wikend yako vizuri na kama unakunywa kunywa kwa kiuajibikaji tuache sisi na timu yetu ambayo wewe unaiita Simba, ikifungwa yetu ikishinda yetu.

kweli kabisa hii timu yetu halafu tuna timu nzuri sana napia mimi najivunia hii timu halafu muda wakufanya makubwa tunawo kwani timu bado ni changa...
 
Back
Top Bottom