SolarPower
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 223
- 27
Wakuu,
Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne 2011 yanaonyesha kuwa asilimia 92.1 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mitihani hiyo wamepata Div 0 na Four? Je tunaelekea wapi kama Taifa???