2simamesote
Senior Member
- Jun 27, 2011
- 109
- 13
nimeangalia historia za mapinduzi ktk nchi nyingi wamekua na meeting point lakini kwa tanzani i came to realize we dont have a revolution square tunaomba serikali pia mtusaidie katika hili pia .
Kuna watu tunasubiri mtu aseme 'suu'... Tuitikie wito.
Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu,
Ninaguswa sana na matatizo yanayotukumbuka kwenye nchi yetu,matatizo ambayo ukiyachunguza kwa undani ni kwamba yanasababiswa na mfumo MBOVU WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM(Chama cha Majambazi au Mafisadi).
Mpaka sasa hivi kuna matukio ambayo yanatugusa Watanzania moja kwa moja na inabidi tuchukue hatua ili kuwashinikiza CCM waondoke madarakani. Matukio hayo ni:Hakuna mtanzania ambaye haguswi na matatizo haya. Kwa hiyo mimi nashauri kuwa Watanzania tujipange kuandaa MAANDAMANO YA NCHI NZIMA(PEOPLES POWER)KUSHINIKIZA SERIKALI YA CCM IONDOKE MADARAKANI BAADA YA KUONGOZA KWA MIAKA 50! Wenzetu TUNISIA,MISRI wameweza kuwaondoa viongozi wao waliokaa madarakani miaka kedekede na sasa NUVU YA UMMA IMEHAMIA LIBYA, na YEMENI na mapambano bado yanaendelea.
- Mgawo wa umeme unaosababishwa na uzembe wa Serikali.
- Kushuka kwa kiwango cha Elimu ya Sekondari ambapo 50% ya vijana wamepata Daraja sifuri(0).
- Milipuko ya Mabomu ya G.Mboto yaliyosababishwa na uzembe wa JWTZ.
- Kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na kushuka kwa thamani ya Tshs.
Napendekeza TAHRIR SQUARE YETU IWE VIWANJA VYA JANGWANI.
i wish nimjue huyo mtu anajiita genius brain.. nahisi sio mtanzania na kama ni mtanzania basi atakua right man wa hao mafisadi
nadhani hata hiyo modem wamemnunulia na wanamwekea MBs za kuja kusumbua humu.... siku yaja
...Mbona mnazi mmoja ndio pabaya zaidi...bora ya hapo jangwani..tatizo ninaloliona mimi je watanzania wana uwezo wa kuingia bara barani kwa siku 7 au 10 mfululizo bila kujali shida zako na za wanaokutegemea?Kiwanja kizuri ni Mnazi Mmoja, ujue hiyo ni sawa na vita haifai kuchagua sehemu utakayozingirwa kiurahisi.