'Tahrir square' ya Dar ni wapi??

Tunalianzisha lini na sisi wengine tujiandae? Popote mtakapopanga wakuu nitakuwepo.
 
Hi hapahapa mkuu. Kwa jinsi Watanzania walivyo waoga, watu wamebaki kupiga domo wee, kulaani na kutoa vitisho vya staili ya "nyau kwa mtu mzima" mchana na usiku kucha kama hawana akili nzuri.
 
Hata ikwepo hatakanyaga mtu. Wabongo tunajulikana. Mapepe sasa kwenye kuongea lakini kwa vitendo ni useless.
 
Mkuu mimi c afiki hili kabisa. Hatuko siriasi kabisa, na hatuwezi komboa watanzania kwa hili. Tunisia na misiri hawakuorozesha viwanja wao walikuwa sireas tu.

Hizi za viwanja c mara ya kwanza kuletwa hapa janvini, na je imesaidia vipi?

Tanzania utani ni mwingi sana, hatuko sereasi kabisa.
 
Ninyi watu wa dar ni wajinga, mazezeta na wanafiki sana: ingawa uchaguzi mkuu ulopita mmejaribu kutoa tongotongo. Hamuwezi kuwa chanzo cha mapinduzi nchi hii. Tutarajie chanzo kwa sasa kuwa Mwanza, Mara, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Mbeya, Iringa, au Kilimanjaro.
 
Mkuu nashukuru kwa kunikumbuka,Hapa Nyaluland Iringa---Mwembetogwa na Mlandege patachimbika sana na uwanja mpana wa namna nzuri ya Kuwazingira wale watoto wa Mwema
 
Gymkhana club panafaa sana!!nimeona waisrael leo yaani mpaka sofa wamahamishia kabisa kwenye square, ni kula,kulala kushinda hapo hapo mpaka kieleweke
 
Kwenye geti la hikulu halipo panga mkuu wa magamba(******) aka vasco dagama aka popooooooooz shaloba aka tabasa....endeeeelea.........
 
Kwenye geti la hikulu halipo panga mkuu wa magamba(******) aka vasco dagama aka popooooooooz shaloba aka tabasa....endeeeelea.........
<br />
<br />
Jf mmechachua neno (m kwe re) mmelifuta kwanini? ??
 
nimeangalia historia za mapinduzi ktk nchi nyingi wamekua na meeting point lakini kwa tanzani i came to realize we dont have a revolution square tunaomba serikali pia mtusaidie katika hili pia .
<br />
<br />
Tukiliazisha tu ni lasima tupate hiyo squere unayosema mimi nami n squere upo tupeni mpango kaka
 
Back
Top Bottom