Mcharuko
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 209
- 172
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......