Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Umenifurahisha sana Mama Mdogo, yaani nakupa Heko katika mistari hiyo ya Biblia. Nami nakupa mistari hii,
Ezekieli 16:8-9
Pamoja sana.
Ahsante!
Ezekieli 16:8-9
Pamoja sana.
Ahsante!
Ushauri wa nyongeza, wale wana Ukawa wote watakaokuwa wanatoka kusikiliza mahitimisho ya kampeni waende nyumbani salama kwa utulivu kwani kukitokea purukushani yoyote hata kama ni ndogo kiasi gani, watakuwa wameikosea jamuhuri na wanaweza kamatwa, rundikwa ndani hadi jumatatu na kupoteza haki ya kupiga kura. Soma Daniel 5:25 hadi 28 kwa ushauri wa ziada. Zingatia!!!!