TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Nikupe moyo tu kuwa hujapoteza kitu, bali lillilokutokea ni moja ya kumbukumbu katika safari yako ya mafanikio., kutapeliwa na huyo mmoja kusikufanye kuwa na moyo mgumu wa kusaidia wengine bali kuwe ni chachu ya ww kuwa makini zaidi kesho. Neno la imani ninalokupa leo ni kuwa umsamehe bure!. Mm nishapoteza milioni 2.3 kwakumuamini mtu ambaye kipndi cha nyuma nilikuwa namsimamia kikazi, na pia alikuwa ni surbodonate ambaye nilimuamini sana hata nikamfanya kuwa rafiki yangu. Pamoja na yote nilimsamehe kabisa na hata nikimkuta na shida nipo tayari kumsaidia na hata nikionana naye nitacheka naye bila kinyongo. Thats life

What precautions u taking over the matter mate...

You gotta be hard on hardness son
 
Ngoja nikiseme nami nilichogundua katika thread hii, kwanza kabisa sitaki kumpa pole kwa ili jambo.

Amesema bi dada huyu mtu walitafutana kwa ajili ya kuuziana maziwa kwa siku mbili mfululuzo hivi alikuwa akimlipa bila shida note hiyo siku ambayo anaenda kukopwa hakuwa amefika kwa huyi mteja kwa maana alikuwa hapajui akaelekezwa akaenda kwa mara ya kwanza note dot halafu hapohapo huyu bi dada akiwa ana mjibu Tarakilishi anasema " Nimewah kufika kwake mara 1 na hata sipakumbuki tena,'' hii kitu inawezekana kweli????

Kuna sehemu anatushangaa sisi tunaoona aliwezaje kumkopesha a stranger person pesa nyingi hivo kwa siku tatu tu za biashara zao tangu kuanza?? unga dot kama anaona yeye ni pesa ndogo kilichomleta hapa analilalia ni nini?? jiulize

Anadai alimtolea uvivu kwa kumpigia akiwa na marafiki zake jambo ambalo tapeli aliona kama ni matusi akampeleka polisi kwa binti huyu kudhalilisha utu wa tapeli na binti kuhaha na kutafuta wanasheria wanne kwa kesi hiyo note dot alitakiwa kufika polisi kuitikia wito wa polisi lakini kwa vile hakuwepo jijini aliahidi kufika akirudi je alifanya hivo?? kama alifanya hivyo ilikuwaje na kama hakwenda kwanini?? wakati mdai wake anamtafuta muda mrefu kama anavyodai?? unga dot

kwani hajatii sheria bila shuruti kuitikia wito wa polisi au wanasheria wako wanne ndo walikushauri kugomea wito?

nafasi ya kumtia mikoni mbay wako bado unazingua?
Binti anaona hiyo ni pesa ndogo kumsaidia mtu kama ni ndogo why unalialia hapa umetapeliwa? kama una moyo wa kusaidia kuna mtu kasema una ndugu ambae tunajua wanahitaji msaada wako why usiwasaidie hao hiyo pesa??

Kilichopo nyuma ya hii sinema ninachohisi

--- huyu dada atakuwa kamlia huyu tapeli vyake vingi sasa tapelu nae kampatia nafasi ya kumliza dada anaumua

--- mahusiano ya kimapenzi yapo baina yao dada anaogopa kutaja id ya tapeli kwa kuogopa uchafu wake kuwekwa wazi na tapeli

---Dada ni mdhaifu wa kudhibiti hisia zake za kimwili kingono anajikuta badala ya kufanya biashara ya maziwa anafanya biashara zote mbili

---Dada ni mwanafunzi wa chuo itakuwa kumbuka alipomtolea uvivu tapeli ati akiwa na marafiki zake

---kuna mengi sana katika tamthilia hii ukichunguza na kusoma comment zake na maswali ya wadau

Hakuna haja ya kuficha id na namba ya tapeli, humu ndani uenda kuna watu walishafanya nae biashara hivyo wana namba yake na wanafahamu anapokaa wakakusaidia kumshika tapeli maana wewe si umesema umesahau ulipochinjiwa kibudu

Siku nyingine usihadaike na mtu kutaja mil10 moyo ukakulipuka kwa kudhani ukimpa mwili wako utazipata hizo pesa

samahani kama nitakuwa nimekukwaza apologize lady
Umefikiria nje ya box mkuu. Ni uchambuzi makini sana, Ila ukweli anao yy mwenyewe apologize lady. Hizi zote tunazoziunda ni dhana tu ambazo zinaweza kuwa za kweli au si za kweli kabisa.

Mhusika inabidi afunguke zaidi kama si kwa kutaja ID yake basi atuwekee hata picha ya huyo jamaa.
 
Pole sana dada yangu mpendwa Apologise lady
Hii ni moja ya changamoto katika ulimwengu wa watafutaji....ni kama amekupa somo katika biashara ambapo ni wajibu wako kuelimika.....
Kumbuka ni kama huko mtaani ambapo kuna watu wema na wabaya......lakini kikubwa zaidi ingekuwa vyema kama ungeweka id yake hapa jukwaani ili watu wengi wasiangukie kwenye mitego yake au wasiendelee kuanguka kwenye mitego yake.

Hata kama atabadili id lakini tutaweza kumjua kwa style yake ya uandishi na tutajiepusha nae.....

Pole sana dada yangu....
 
Mtaje...
Unajua ukimtaja ataweka had zile picha zako za whatsapp ulizokuwa unamtumia usiku ili upate hela za escrow kirahisi.

Usitumie moyo wa hasira kumkabili nyati ili hali unajua atakuumiza.
Kutokumtaja ni kujicholesha pia humu na kuanika ukwel wako tofaut na ww unavyodhan unatahadhalisha watu.

Sorry for me by being straight
 
Hata nikikwambia ni nani haitasaidia kwakua akiona huu uzi lazima atabadili ID. Jambo kubwa kumjua kwa sura sio hzi fake ID
Sijaelewa kwa nini hutaki kutoa ID yake. Yaani kuna sababu gani? Kwani hiyo ungewasaidia wengi. Kama mwenyewe unavyosema inaonekana ni tapeli kwa nini unamficha tapeli atazidi kuwapata wengine.
 
Umenitukana sana na uliyoongea mengi ni uongo ila hakuna shida nitakutumia hela yako kesho asubuhi ila naomba usiendelee kunichafua tafadhali, otherwise nitasema ukweli wote tang mwanzo.
 
Hahaaaaa kumbe ni ww mkuu
 
Ngoja nikiseme nami nilichogundua katika thread hii, kwanza kabisa sitaki kumpa pole kwa ili jambo.

Amesema bi dada huyu mtu walitafutana kwa ajili ya kuuziana maziwa kwa siku mbili mfululuzo hivi alikuwa akimlipa bila shida note hiyo siku ambayo anaenda kukopwa hakuwa amefika kwa huyi mteja kwa maana alikuwa hapajui akaelekezwa akaenda kwa mara ya kwanza note dot halafu hapohapo huyu bi dada akiwa ana mjibu Tarakilishi anasema " Nimewah kufika kwake mara 1 na hata sipakumbuki tena,'' hii kitu inawezekana kweli????

Kuna sehemu anatushangaa sisi tunaoona aliwezaje kumkopesha a stranger person pesa nyingi hivo kwa siku tatu tu za biashara zao tangu kuanza?? unga dot kama anaona yeye ni pesa ndogo kilichomleta hapa analilalia ni nini?? jiulize

Anadai alimtolea uvivu kwa kumpigia akiwa na marafiki zake jambo ambalo tapeli aliona kama ni matusi akampeleka polisi kwa binti huyu kudhalilisha utu wa tapeli na binti kuhaha na kutafuta wanasheria wanne kwa kesi hiyo note dot alitakiwa kufika polisi kuitikia wito wa polisi lakini kwa vile hakuwepo jijini aliahidi kufika akirudi je alifanya hivo?? kama alifanya hivyo ilikuwaje na kama hakwenda kwanini?? wakati mdai wake anamtafuta muda mrefu kama anavyodai?? unga dot

kwani hajatii sheria bila shuruti kuitikia wito wa polisi au wanasheria wako wanne ndo walikushauri kugomea wito?

nafasi ya kumtia mikoni mbay wako bado unazingua?
Binti anaona hiyo ni pesa ndogo kumsaidia mtu kama ni ndogo why unalialia hapa umetapeliwa? kama una moyo wa kusaidia kuna mtu kasema una ndugu ambae tunajua wanahitaji msaada wako why usiwasaidie hao hiyo pesa??

Kilichopo nyuma ya hii sinema ninachohisi

--- huyu dada atakuwa kamlia huyu tapeli vyake vingi sasa tapelu nae kampatia nafasi ya kumliza dada anaumua

--- mahusiano ya kimapenzi yapo baina yao dada anaogopa kutaja id ya tapeli kwa kuogopa uchafu wake kuwekwa wazi na tapeli

---Dada ni mdhaifu wa kudhibiti hisia zake za kimwili kingono anajikuta badala ya kufanya biashara ya maziwa anafanya biashara zote mbili

---Dada ni mwanafunzi wa chuo itakuwa kumbuka alipomtolea uvivu tapeli ati akiwa na marafiki zake

---kuna mengi sana katika tamthilia hii ukichunguza na kusoma comment zake na maswali ya wadau

Hakuna haja ya kuficha id na namba ya tapeli, humu ndani uenda kuna watu walishafanya nae biashara hivyo wana namba yake na wanafahamu anapokaa wakakusaidia kumshika tapeli maana wewe si umesema umesahau ulipochinjiwa kibudu

Siku nyingine usihadaike na mtu kutaja mil10 moyo ukakulipuka kwa kudhani ukimpa mwili wako utazipata hizo pesa

samahani kama nitakuwa nimekukwaza apologize lady
hisia zako zimekudanganya mno mkuu.
 
Back
Top Bottom