iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
Kuna taarifa kwamba benki nyingi biashara imegoma, hazipati faida. Hatari hii ni kubwa sana kiuchumi kwa nchi yetu.
Kuna taarifa kwamba CRDB nao wanapata hasara sasa na ni suala la muda tu wanachokificha kitafahamika kwa umma. Kuna taarifa kwamba hata NMB nao hali ni tete.
Hizi ni benki kubwa zinayumba. Tatizo liko wapi? Tupige kelele kwa nguvu ili hatua zichukuliwe haraka, vinginevyo fedha zetu ziko hatarini.