Tafuta Pesa Uamkiwe na wakubwa zako

Key Milly

Member
Dec 15, 2016
24
22
IMG_2484.jpeg
 
Ulizoanika hapo ni za mboga tu! Sina elimu ya darasani ila hata nikijamba naambiwa "pole mzee " , ujue mimi ni kijana ila pesa inaleta heshima ya mzee mwenye busara. Nikitukana naambiwa asante mzee.
 
Ulizoanika hapo ni za mboga tu! Sina elimu ya darasani ila hata nikijamba naambiwa "pole mzee " , ujue mimi ni kijana ila pesa inaleta heshima ya mzee mwenye busara. Nikitukana naambiwa asante mzee.
Binadamu mahangaiko yote hayo mwisho wa siku utafukiwa chini futi sita..ila tuishi tu🤣
 
Siku ukishika milioni we utatembea na makopo kabisa

Sasa pesa Gani hiyo ya kuja kuringishia humu.

Ebooh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom