Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

gaintoo broisser

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
307
378
Habari za Saahizi Wana Jf
Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear .

🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU,

🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote, Dawa zinazozalishwa hutuliza baada tena ya Mda tena Unaingia Kwenye
🖐️DozWafanyabiasharaara wa Kuongeza nguvu za Kiume AKA Buster, Hawa pia Dawa hazitibu Ugonjwa Bali hutumika Kwa Mda flani tu baada ya hapo ni mwendo wa Dozi tu Maisha Yako yote.
🖐️Makambuni Yanayotengeneza Dawa HIV/AIDS Ukimwi ,Watumiaji wa Dawa za Kulewesha Ukimwi ,Waathirika pia Hutumia Dawa hizo Maisha Yao yote, Maranyingi nchi ndo inagaramia Dawa hizo.

Zipo Kampuni nyingi SANA Mimi nimeamua kuishia apo.

Mtu anayepiga mswaki Kila SIKU na anayetumia Dawa za Ukimwi Si Masharti si Yale yake.
 
Back
Top Bottom