Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,590
- 2,769
Wasalaam,
Nimetafakari na kushangaa kwa ni nini chama dola chama pendwa CCM kinatumia nguvu nyingi ikiwamo vitisho kumnadi magufuli ili hali Mh kaleta maendeleo kama flyover, mabarabara na hospitali?
Tumeshudia CCM ikiandaa tamasha kubwa na kulipa wasanii zaidi ya mia2 ili kuwatumia katika kampeni, na leo tumeshuhudia ikikusanya viongozi na kuwatuma kwa waumini wao wakapigie kampeni CCM.
Ikiwa CCM na serikali yake ilipiga marafuku vyama vya upinzani kwa miaka5, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari wasiwasi na kuogopa uchaguzi vinatoka wapi?
Binafsi nimeshangaa vingozai wa dini kuelekezwa nn wakanye kama vile viongozi wote wanafurahia utawala wa CCM.
Maendeleo yana vyama.