Tafadhali Soma Hapa

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Kuna wanajamvi ambao wanatoa mada mbovu zisizo na kichwa wala miguu..dawa yao Great thinkers msichangie kwani mkichangia mnazidi kuwapa vichwa na kwa hilo wanazidi kupoteza hadhi ya Jukwaa hili Adhimu la Elimu.
 
Asante. Nasi pia tunachuja post za kuhangaka nazo!! Watapost wakichoka wanasepa!!
 
Huu ni umbea,ndio kuna thread hazna maana lakini hata zile zenye maana watu weng hawachangii kisa labda mtu ni mgen,acheni matabaka na dharau
 
Back
Top Bottom