storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,831
.
Nyie vipi bwana ... mbona hamfikirii vizuri?! ... think ahead
Mimi kwa maoni yangu ni bora abakie kwenye active politics! ... tena ndani ya CCM
Kama watu wanataka mabadiliko ya ukweli hapa nchini kwetu basi aendele kukaa huko huko CCM na ikiwezekana na aombe kugombea kabisa Urais ....
Kwanini nasema hivyo? .... itawasaidia sana vyama vya upinzani mfano CDM katika kuiangusha CCM kwani watavurugana na watasambaratishana na kukiacha CCM kikiwa hoi ... na wengi wataungana katika kuiongezea nguvu CDM ili ielekee ushindi!
Nyie vipi bwana? .. mbona hamfikirii vizuri? ... think of aftermath! ...
Narudia tena ... kama unataka mabadiliko ya kweli ... mwombee EL asihame CCM ili wavurugane vizuri hadi waishiwe nguvu ... na CDM kiongezeke nguvu ili walete mabadiliko
Think harder! ... think!
Haya uliyasema tar 18/4/2012
Sawa bro mtabiri.