Tafadhali kama una moyo mwepesi usitazame hii video ( maiti za watoto )

Sasa Ni muda wa Kwenda Kitaalamu zaidi!! Tumebaki kulaumu bila kuhusisha Vyanzo vya ajali na matukio yenyewe!! Kwa Kawaida kioo au Windscreens vinakuwa na ubora ambao hata ajali ikitokea Haviwezi kusababisha Madhara kama haya!! Kwani kinakuwa na material ya karatasi/Gundi ambayo inakifanya Kioo kisiweze kumkata abiria/dereva na kumuepusha na Madhara ya Hatari mbaya kama hiyo ya Kufanya kioo Kumkata Mwendeshaji!!

Ushauri!!
Tunawaomba wahusika wote na wadau wanaohusika na Ubora wa Vyombo vya Usafiri wafanye Uchunguzi Katika Hili!! Usalama barabarani, Sumatra, na TBS Kwani aina hii ya kioo ni hatari na huwa hairuhisiwi kabisa kwenye Vyombo vya Moto!!
Nadhani katika ajali Nyingi Watu Hupoteza Maisha Katika Mazingira Kama Haya!! Hasa Haya mabasi yenye Bodi za Kutengenezea Hapa Nyumbani!! Wanaweka kioo cha chumba kwenye Vyombo vya Usafiri!! Hii ni Hatari sana!!
Au Kama ni kwenye Bajaji Tu basi Uchunguzi Ufanyike Na kama tatizo Hilo litaonekana basi Hawa WATENGENEZAJI WA BAJAJI WAPELEKWE mahakamni na kushitakiwa kwa uzembe wao Huo!!
 
POINT hiyo,so true. Pole ziwafikie wafiwa popote walipo.
 
Poleni sana itakua israeli anafunga mahesabu mbona ajali ni nyingi sana
hapa mwishoni mwa huu mwaka?
 
ukisema taxi unamaanisha nini?maana sioni hiyo taxi kwenye picha,nona soloon gari dogo,ila tunashukuru kwa taarifa na pole kwa wafiwa
 
aisee nilijua mna MIOYO MIDHAIFU KUMBE MIGUMU HIVYO DUH
RIP JOSEEEEE
 
ukisema taxi unamaanisha nini?maana sioni hiyo taxi kwenye picha,nona soloon gari dogo,ila tunashukuru kwa taarifa na pole kwa wafiwa

kule kijijini kwetu magari yote madogo (saloon) huwa tunayaita TAXI, yaani kama vile vituo vyote vya kuuzia mafuta ya magari tunaviita SHELI.
 
Back
Top Bottom