Tafadhali kama una moyo mwepesi usitazame hii video ( maiti za watoto )

ndio ukae ukijuwa sisi waafrika bado tupo nyuma sana kimaendeleo Wazungu wanakwenda Mwezini sisi bado tunafikiria mambo ya uchawi tu bujibuji akiwa na macho mekundu eti naye pia ni mchawi hahahahahahah mbona kazi ipo tutafika kule tunakokwenda lakini mkuu bujibuji??????????????

Haya mambo ni huzuni kubwa kama yanaendelea kufanyika katika jamii za kiafrika katika dunia ya leo. Lakini haya yote yakifanyika serikali husika haioni? hata serikali ya kijiji, viongozi wa madhehebu ya dini na taasisi za kiraia hawayaoni?? Ndiyo maana tunaendelea kudharauliwa na hawa wazungu ambapo kwa kweli sisi waafrika ndiyo tungekuwa tunawadharau wazungu katika enzi hizi kwa sababu ya wao kukosa maadili. Katika hali kama hii waafrika tutaendelea kuonekana vituko
 
Haya mambo ni huzuni kubwa kama yanaendelea kufanyika katika jamii za kiafrika katika dunia ya leo. Lakini haya yote yakifanyika serikali husika haioni? hata serikali ya kijiji, viongozi wa madhehebu ya dini na taasisi za kiraia hawayaoni?? Ndiyo maana tunaendelea kudharauliwa na hawa wazungu ambapo kwa kweli sisi waafrika ndiyo tungekuwa tunawadharau wazungu katika enzi hizi kwa sababu ya wao kukosa maadili. Katika hali kama hii waafrika tutaendelea kuonekana vituko
Na Wale Wa Tanzania wanaouwa Maalbino kwa kusingizia eti wameambiwa kwa waganga wao watapata Utajiri? Na Serikali yetu inafanya nini kuhusu kuuwawa kwa hao ndugu zetu wa Kialbino? itabidi Watu waelimishwe sana kuhusu imani Potofu ya Uchawi pasipo kuelimishwa huko tunakokwenda kubaya Adui yako ataweza kukusingizia unamroga na Majirani wakachukua hatua mbaya dhidi yako.

MIAFRIKA BWANA ...NDIVYO ILIVYOOOO
 
ha hi je? uny.jpg
 
Roho zetu zinatofautiana sana...Kuna mtu hapo alikuwa anawasha moto utafikiri kama kweye kuni kumbe ni kwa mwanadamu mwenzake!
 
[h=3]AJALI MBAYA IRINGA DEREVA WA BAJAJ AJIINGIZA NYUMA YA TAXI AFA[/h]
Damu nyingi ikiwa imemwagika ndani ya Bajaj hiyo baada ya kupata ajali eneo la Kihesa mjini Iringa usiku huu

Baba wa marehemu Jose Kasililika ,mzee Richard Kasililika akitoka mochwari ya Hopspital ya mkoa wa Iringa huku akiwa ameshika viatu vya marehemu baada ya kuhifadhi mwili wake

Eneo la ajali lilivyotapakaa damu

Gali ambalo limegongwa na Bajaj hiyo kwa nyuma na kusababisha kifo cha dereva wa bajaj hiyo





Ajali mbaya ya imetokea mjini Iringa majira ya saa 12.35 jioni hii kwa kuihusisha Bajaj pekee iliyokuwa ikifanya kazi ya kusafirisha abiri katika mji wa Iringa Bajaj yenye namba za usajili T 387 BSC ambayo imegongana na Taxi yenye namba za usajili T978 BAD.


Mashuhuda wa ajali hiyo wameueleza mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com kuwa dereva huyo wa Bajaj aliyefahamika kwa jina la Jose Kasililika alikuwa amempakia mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika akielekea eneo la kimbizi huku akiwa amelewa pombe chakari .


Hata hivyo baada ya kufika eneo hilo ambalo lina matuta dereva huyo wa Bajaj alionekana ni mwenye haraka zaidi na hivyo kuivaa Taxi hiyo kwa nyuma na kupelekea kioo cha mbele ya Bajaj hiyo kuvunjika na kumchinja dereva huyo wa Bajaj shingo yake na kufa papo hapo.


Huku mwanamke ambaye alikuwa amepakizwa katika Bajaj hiyo akitimua mbio na kuuacha mwili wa marehemu eneo la tukio kabla ya wananchi kufika na kutoa msaada wa kupakiza mwili huo katika gari la polisi ambalo lilikuwa katika shughuli za kuimarisha ulinzi.



Mashuhuda hao walisema kuwa dereva huyo alikufa papo hapo na kuwa damu nyingi ilimwagika eneo la tukio .


Madaktari wa Hospital ya mkoa wa Iringa upande wa OPD wamekiri kupokea mwili wa Jose Kasililika na kuwa alifika eneo hilo akiwa tayari amekufa.


Baba wa marehemu huyo mzee Richard Kasililika amekiri kutokea kwa kifo cha mtoto wake huyo na kuwa yote ni mipango ya Mungu .
 
Back
Top Bottom