Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
wakuu kibali cha mkutano mpaka saa ngapi? wasije mshusha kwamba muda umeisha na tukatoka kapa bila list

Na update nyingine hii:

SAMAHANI SIJAWEZA KUIHARIRI ILA HAYO NDIO YANAENDELEA .NTAWAJUZA ZAIDI.
PROF.SAFARI.
Anasema kuwa ni wakati wa kudai nyumba za serikali kwa nguvu ya umma , kwani kwenda mahakamani sio muafaka kwani hata majaji wenyewe walijiuzia hivyo hawawezi kutoa haki.
Zidaiwe kwa nguvu ya umma ndio njia pekee ya kupata nyumba hizo kwani viongozi wengi wanakaa hotelini.

Udini.
Wakoloni waliwagawa watu kwa njia za makabila ili wawatawale ,wakagawa watu kwa njia za udini mf.waingereza waliingiza dini na kjuweka watu wao serikalini , na waislamu wengi walikosa nafasi ya kusoma ndio maana hawakuingia serikalini mapema .
Waislamu walipigania uhuru ila , kutokana na waingereza kuwabagua , ndio maana waliamua kupinga ukoloni ili waweza kuweka serikali ambayo haiwabagui, anasema ugomvi wa Nyerere na shehe takadir kuhusu waislamu kubaguliwa , na anasema kuwa ndani ya CDM hakuna udini ila ndani ya nchi kuna tatizo la kihistoria la kidini.
Anasema kuwa ni mbinu ya serikali kuwagawa watanzania ili waweze kuwatawala .
Alipojitoa CUF na kujiunga na CDM alifuatwa na mashehe wakimwambia kuwa yeye ameamua kujiunga na wakristo , yeye akajibu kuwa walitaka yeye aende kwenye chama gani? Mbona CCM sio ya waislamu kwani ukiondoka JK wengi waliopo serikalini ni
Anasema yeye hajabatizwa na pia Slaa sio yohana mbatizaji na amewataka waislamu kuungana pamoja ili kupigania haki za waislamu kwani CCM ndio ambao wanawakandamiza waislamu hivyo ni bora wakajiunga na CDM kwa wingi ili waweze kudai haki zao tangu awali na wasisubiri , waingie cdm tangu mwanzo ili wawe sehemu ya kupigania haki zao na njia nzuri ni kuhakikisha nkuwa wanajiunga ili kuingiza hoja zao kabla ya cdm kuingia serikalini na ni lazima waislamu wakitaka madai yao yasikilizwe wanapaswa kuingia sasa na sio wawasusie cdm kwa hoja za udini halafu baadae waje walalamike .
Kuna haja ya kujiunga na cdm sasa.

MARANDO.
Ameanza kwa kusema Slaa alishinda ila kura zilichakachuliwa na hivyo ndio maana Slaa ameamua kuingia kazini rasmi kujenga chama ili kiwe imara na kuweza kujiandaa na uchaguzi ujao .
Anasedma yeye ataongelea mambo matatu.(KATIBA , EPA , NA MAGAMBA YA CCM).
KATIBA .
Hii ilikuwa hoja ya CDM kwani iliyopo inawafanya mafisadi watamalaki, katiba ni maji, ni unga ni kila kitu ambacho kipo , ukishaweka katiba mengine yote yanawezekana .
Anasema JK alishauriwa na watu kuhusu katiba , ila aliweza kjuipata muswada wa sheria kutokana na taaluma yake ya kishushu aliupata mapema na kuisambaza a kwani jk hakuwa tayari kupata katiba .
Amewataka watanzania kuwa macho kwani nia ya ccm ni kuendelea na katiba iliyopo na sio kweli kjuwa wanataka katiba mpya.
Tofauti ya CCM na CDM kwenye katiba ni kuwa CCM wanataka iliyopo iwekwe viraka , na CDM wanataka mpya .
Cdm wanataka mambo yafuatayo kwenhye katiba mpya.
1. Kupunguza madaraka ya rais haswa ktk kuteua watu mbalimbali.
2. Viongozi wa wilaya wapigiwe kura na sio kuteuliwa na rais…..
3. Madini yalindwe na katiba
4. Power of recall kwa wabunge na madiwani
Kuhusu EPA na magamba ya CCM.
Ccm ndio gamba la watanzania na tunapaswa kuliondoa hilo gamba ccm na sio wao waondoane wenyewe
Ccm ndio gamba lenyewe na linapaswa kuondolewa moja kwa moja
Lissu amewafundishwa wabunge sheria .
Epa ni ya jk kwani ndio ilimuingiza madarakani.
Kikwete amesamehe wezi wa EPA wakati wezi wanapaswa kupelekwa jela .
Slaa alipotaja mafisadi ccm walisema ni uongo kuwa hakuna mafisadi , jk juzi kakiri kuwa kuna mafisadi wengi ndani ya chama na walitaja listi yao ya mafisadi , lowass,change na rostam.
Jk sio jasiri na hana ubavu wa kuweza kupambana na mafisadi wa ndani ya chama chake kwani hawezi kuchukua hatua .
Jk alishindwa hata kujua mafisadi dowans.
Kagoda .
Kuna visamaki vidogo vimeshitakiwa ila kagoda hawajapelekwa mahakamani ,rais alisema hawajui wahusika wa Kagoda ,
Kemhondo willium ni jina la bandia – John Kato mwajiriwa Caspian
Francis wilium jina bandia –Bharati goda na ni mwajiriwa caspian
Aliweka majeshi yake kwa siku tatu na majina halisi ni haya;
Na jk kama hawajui aende ofisini kwake atampa mpaka picha
Kama jk anataka atume watu ofisini kwake ili waende kuchukua picha .
Anasema yuko tayari kama jk akimtaka kujitolea apewe jalada la kagoda na atawafikisha mahakamani na wataishia keko.
Wengine kagoda ni malecela na Mangula .
Cdm tulimuita safari ili aje aweze kutueleza ni jinsi gani tunaweza kiutatua matatizo ya waislamu na pindi tukiingia madarakani tutakuwa tayari kuzitekelezaz kwani ccm kwa miaka 60 wameshindwa kutatua matataizo hayo.

DR.SLAA.
Ameanza kwa kuwataka maasikari kuacha siasa na haswa jana walipoamua kuzuia maandamano kwa madai kuwa hali ya nchi ni tete , amewataka polisi kuacha kufanya siasa.hiyo hali wameipima hospitali gani mpaka kujua hali ni tete , na pia pesa zimeibiwa ndani ya jeshi la polisi na hata mdhibiti mkuu amesema uozo wa polisi.
Sababu ya pili waliyotoa polisi kuwa hoja yetu ya maandamano imefutwa na serikali ,hiyo sio kazi ya polisi kusema kuwa maandamano yamevunjwa .
Polisi kuweni na uchungu na nchi hii kwani mama, baba , watoto wenu wanaumia sana kutokana na ufisadi wan chi hii, pia usalama wa taifa wanapaswa sasa kuamka na kulinda masilahi ya taifa na sio kulinda masilahi ya viongozi kama wanavyofanya sasa.
Nchi haiwezi kutawalika ni mpaka mafisadi wote wakamatwe kwani haiwezekani kluwa na mafisadi na nchi ikaweza kutawalika.
Wananchi wa tabora kwa ujumla wenu mmefanywa kuwa wateja wa CCM kwani hii ni ngome yao ya kuvuna kura wakati hakuna hata barabara kwenye mkutano wenu.
Hawezi kujibu vyama wanaozunguka kuisema CDM ila hoja yake ni maisha ya watanzania tuu na sio vinginevyo kwani maisha ni magumu kwa kila mwananchi bila kiujali vyama vyao.
Maeneo waliyoikataa ccm kuna lami ila huku ambako kuna ccm hakuna barabara , za kwenda Urambo,Bukene, Nzega … huku mmetelekezwa .
Rais anaahidi kujenga viwanja vya ndege wakati cha Tabora hakitumiki sasa hivyo vipya anaweza?
Kwa taarifa yenu mimi ni mwana Tabora kwani nilikulia na kusoma Itaga , wakati huo kulikuwa na viwanda vya nyuzi, maziwa n.k. na kwelina sababu nzito ya kuikataa CCM.
Makisio ya kodi ya tabora mwaka huu ni kulipa serikali kuu 9.9 bilioni.ila hakuna barabara je?kodi zenu zinapelekwa wapi?
Anazungumzia juu ya nyumba za serikali na sasa muda umeisha wa kuendelea kuvumilia kuhusu nyumba za serikali lazima sasa zirejeshwe mara moja .
Mkapa anahusika na uuzwaji wa nyumba za Serikali.
Wale wanaosema kuwa slaa anamchukia jk kwa sababu ya dini . kwani alimshughulikia sumaye .
Mkapa na Magufuli kwenye kuuza nyumba za serikali na wao ni mafisadi .
Ndege za jk za kampeni zilitoka kwa watu walioiba EPA na ndio maana ameshindwa kuchukua hatua kwani anashirikiana nao .
Kama JK kawapa mafisadi siku 90 ndani ya chama chake nay eye Tunampa JK na eye siku 90 ataje fedha za mabango yake dola 1.5 milioni aseme zilitoka wapi zilizotumwa CANADA kutengeneza 2010 election .na yeye anapaswa kujitoa kama atashindwa kuchukua hatua hizo.

Ahsante sana kwa kutaja mafisadi.

Tatizo letu kubwa ni kuishi kwenye lindi la umaskini, maradhi na idadi ya wajinga kuongezeka. Je huku kutaja mafisadi kutaboreshaje maisha ya Mtanzania?

Wizi wao ndio unafanya maisha yazidi kuwa magumu, kuwajua itasaidia kuzuia mianya ya kupata kashfa nyingine kama za dowans, epa n.k. na ikiwezekana wafikishwe mahakamani na mali zao zitaifishwe ziwe za TZ ,fano tukitaifisha mitambo ya kufulia umeme ya dowans tutapata extra 100 MG kwenye gridi ya taifa).

Makamanda mtudondoshee hata picha zilizopigwa kwa cm au mtandao haupo sawa?

Hataji kwa mlolongo,alisema mkapa,magufuri wanahucka na u uuzaji wa nyumba,kuna bwana mmoja pia wa tra luoga,any way by the way nanogewa na hoja nafikili waandishi wana andika vizuri mtapewa habari,so far anaongelea upotezu wa pesa za govt,epa,stumulus pakage mambo mengi,deni la taifa anasema kila mtanzania anadaiwa elf 10,deni la taifa bilion 279,deni limekua kwa 38%,pesa nyingi anahic zimetumika kwenye uchaguzi,anamalizia na kuwahoji wana nchi kama wako tayari hiz pesa zirudi kwenye huduma za jamii,elimu afya etc wana nchi wamesema wako tayari

Asante sana mdau @mpaka kieleweke kwa kutujuza yaliyojiri..nchi imechafuka corruption all over.

mimi hata sijui kwa nini maghufuli anashabikiwa hapa JF, hayo anayotafanya ni maigizo tu, naye naamini ni moja ya magamba huko kwao ccm

Ahsante sana kwa kutaja mafisadi.

Tatizo letu kubwa ni kuishi kwenye lindi la umaskini, maradhi na idadi ya wajinga kuongezeka. Je huku kutaja mafisadi kutaboreshaje maisha ya Mtanzania?

dada yangu, hivi kweli umeshindwa kuona uhusiano uliopo kati ya mafisadi na hhili lindi la umasikini, maradhi na ongezeko la ujinga?

nafikiri kutaja ni mwanzo na lazima watajwe na wafanyiwe uchunguzi wa namna walivyopenya hazina ya nchi na kudivert resources kuelekea mifukoni mwao na mifukoni mwa mabosi wao, kisha haki itendeke ili kuweka ustaarabu wa kuheshimu sheria na utawala bora miongoni mwao waliokabidhiwa damana za uongozi, hapo ndipo haki ya masikini itakapolindwa na sheria za nchi kwa usawa

SAMAHANI SIJAWEZA KUIHARIRI ILA HAYO NDIO YANAENDELEA .NTAWAJUZA ZAIDI.

PROF.SAFARI.

Anasema kuwa ni wakati wa kudai nyumba za serikali kwa nguvu ya umma , kwani kwenda mahakamani sio muafaka kwani hata majaji wenyewe walijiuzia hivyo hawawezi kutoa haki.

Zidaiwe kwa nguvu ya umma ndio njia pekee ya kupata nyumba hizo kwani viongozi wengi wanakaa hotelini.

Udini.

Wakoloni waliwagawa watu kwa njia za makabila ili wawatawale ,wakagawa watu kwa njia za udini mf.waingereza waliingiza dini na kjuweka watu wao serikalini , na waislamu wengi walikosa nafasi ya kusoma ndio maana hawakuingia serikalini mapema .

Waislamu walipigania uhuru ila , kutokana na waingereza kuwabagua , ndio maana waliamua kupinga ukoloni ili waweza kuweka serikali ambayo haiwabagui, anasema ugomvi wa Nyerere na shehe takadir kuhusu waislamu kubaguliwa , na anasema kuwa ndani ya CDM hakuna udini ila ndani ya nchi kuna tatizo la kihistoria la kidini.

Anasema kuwa ni mbinu ya serikali kuwagawa watanzania ili waweze kuwatawala .

Alipojitoa CUF na kujiunga na CDM alifuatwa na mashehe wakimwambia kuwa yeye ameamua kujiunga na wakristo , yeye akajibu kuwa walitaka yeye aende kwenye chama gani? Mbona CCM sio ya waislamu kwani ukiondoka JK wengi waliopo serikalini ni

Anasema yeye hajabatizwa na pia Slaa sio yohana mbatizaji na amewataka waislamu kuungana pamoja ili kupigania haki za waislamu kwani CCM ndio ambao wanawakandamiza waislamu hivyo ni bora wakajiunga na CDM kwa wingi ili waweze kudai haki zao tangu awali na wasisubiri , waingie cdm tangu mwanzo ili wawe sehemu ya kupigania haki zao na njia nzuri ni kuhakikisha nkuwa wanajiunga ili kuingiza hoja zao kabla ya cdm kuingia serikalini na ni lazima waislamu wakitaka madai yao yasikilizwe wanapaswa kuingia sasa na sio wawasusie cdm kwa hoja za udini halafu baadae waje walalamike .

Kuna haja ya kujiunga na cdm sasa.

MARANDO.

Ameanza kwa kusema Slaa alishinda ila kura zilichakachuliwa na hivyo ndio maana Slaa ameamua kuingia kazini rasmi kujenga chama ili kiwe imara na kuweza kujiandaa na uchaguzi ujao .

Anasedma yeye ataongelea mambo matatu.(KATIBA , EPA , NA MAGAMBA YA CCM).

KATIBA .

Hii ilikuwa hoja ya CDM kwani iliyopo inawafanya mafisadi watamalaki, katiba ni maji, ni unga ni kila kitu ambacho kipo , ukishaweka katiba mengine yote yanawezekana .

Anasema JK alishauriwa na watu kuhusu katiba , ila aliweza kjuipata muswada wa sheria kutokana na taaluma yake ya kishushu aliupata mapema na kuisambaza a kwani jk hakuwa tayari kupata katiba .

Amewataka watanzania kuwa macho kwani nia ya ccm ni kuendelea na katiba iliyopo na sio kweli kjuwa wanataka katiba mpya.

Tofauti ya CCM na CDM kwenye katiba ni kuwa CCM wanataka iliyopo iwekwe viraka , na CDM wanataka mpya .

Cdm wanataka mambo yafuatayo kwenhye katiba mpya.

1. Kupunguza madaraka ya rais haswa ktk kuteua watu mbalimbali.

2. Viongozi wa wilaya wapigiwe kura na sio kuteuliwa na rais…..

3. Madini yalindwe na katiba

4. Power of recall kwa wabunge na madiwani

Kuhusu EPA na magamba ya CCM.

Ccm ndio gamba la watanzania na tunapaswa kuliondoa hilo gamba ccm na sio wao waondoane wenyewe

Ccm ndio gamba lenyewe na linapaswa kuondolewa moja kwa moja

Lissu amewafundishwa wabunge sheria .

Epa ni ya jk kwani ndio ilimuingiza madarakani.

Kikwete amesamehe wezi wa EPA wakati wezi wanapaswa kupelekwa jela .

Slaa alipotaja mafisadi ccm walisema ni uongo kuwa hakuna mafisadi , jk juzi kakiri kuwa kuna mafisadi wengi ndani ya chama na walitaja listi yao ya mafisadi , lowass,change na rostam.

Jk sio jasiri na hana ubavu wa kuweza kupambana na mafisadi wa ndani ya chama chake kwani hawezi kuchukua hatua .

Jk alishindwa hata kujua mafisadi dowans.

Kagoda .

Kuna visamaki vidogo vimeshitakiwa ila kagoda hawajapelekwa mahakamani ,rais alisema hawajui wahusika wa Kagoda ,

Kemhondo willium ni jina la bandia – John Kato mwajiriwa Caspian

Francis wilium jina bandia –Bharati goda na ni mwajiriwa caspian

Aliweka majeshi yake kwa siku tatu na majina halisi ni haya;

Na jk kama hawajui aende ofisini kwake atampa mpaka picha

Kama jk anataka atume watu ofisini kwake ili waende kuchukua picha .

Anasema yuko tayari kama jk akimtaka kujitolea apewe jalada la kagoda na atawafikisha mahakamani na wataishia keko.

Wengine kagoda ni malecela na Mangula .

Cdm tulimuita safari ili aje aweze kutueleza ni jinsi gani tunaweza kiutatua matatizo ya waislamu na pindi tukiingia madarakani tutakuwa tayari kuzitekelezaz kwani ccm kwa miaka 60 wameshindwa kutatua matataizo hayo.

DR.SLAA.

Ameanza kwa kuwataka maasikari kuacha siasa na haswa jana walipoamua kuzuia maandamano kwa madai kuwa hali ya nchi ni tete , amewataka polisi kuacha kufanya siasa.hiyo hali wameipima hospitali gani mpaka kujua hali ni tete , na pia pesa zimeibiwa ndani ya jeshi la polisi na hata mdhibiti mkuu amesema uozo wa polisi.

Sababu ya pili waliyotoa polisi kuwa hoja yetu ya maandamano imefutwa na serikali ,hiyo sio kazi ya polisi kusema kuwa maandamano yamevunjwa .

Polisi kuweni na uchungu na nchi hii kwani mama, baba , watoto wenu wanaumia sana kutokana na ufisadi wan chi hii, pia usalama wa taifa wanapaswa sasa kuamka na kulinda masilahi ya taifa na sio kulinda masilahi ya vio

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom