Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
huyu bwana KOO naona alipost halafu hasomi nini watu wanaandika. Ivi tabora nzima mdau ni huyu mmoja jamani? kama ameishiwa credit aseme.
 
Honestly speaking!

Pamoja na Ujanja wote wa Team ya Chadema na mipango mizuri, kwenye issue ya ku-communicate Message na kutoa ujumbe kwa njia mbalimbali mwafaka wako dhaifu sana....

Kwa mfano, inawa-cost kiaski gani kuwa na mtu mmoja kwenye mission muhimu kama hiyo ya Tabora, ambaye atatoa live updates ya kinachoendelea Tabora pamoja na picha za papo kwa papo? inahitajika digita camera moja tu ya laki mbili, laptop ya laki tano na Modem ya internet, kwa mwezi elfu 30.

Chadema kubalini katika hili mko dhaifu...; JIREKEBISHENI!!
 
mkuuu ....mimi nipo samunge loliondo ... justify humu humu JF ... tuwekee picha bana

Too bad, maana sijawahi kupiga picha tangu nilipolazimishwa kuingia JKT na utu uzima, hat nilipomaliza nikazichoma. Huna ndugu wa kike unayemuamini aliye karibu na Dar nikamjastifaie?
 
kuna mwingine alikuwa anaripoti kwenye thread nyingine.....nae kwa sasa yuko kimya.............huku nako kuko kimya.............huenda kuna vurugu huko maana haiwezekani...au moderm zimeisha mafuta!!
 
Mmmh,ntarudi baada ya masaa ma2 maana navo subiri kuwa wa kwanza kusoma napata pressure bure
 
Too bad, maana sijawahi kupiga picha tangu nilipolazimishwa kuingia JKT na utu uzima, hat nilipomaliza nikazichoma. Huna ndugu wa kike unayemuamini aliye karibu na Dar nikamjastifaie?

ha haaaa haaaaa karibu kikombe huku loliondo .... magamba yatakutoka ...!

mk
uu jakubumba endelea kutujuza
 
Honestly speaking!

Pamoja na Ujanja wote wa Team ya Chadema na mipango mizuri, kwenye issue ya ku-communicate Message na kutoa ujumbe kwa njia mbalimbali mwafaka wako dhaifu sana....

Kwa mfano, inawa-cost kiaski gani kuwa na mtu mmoja kwenye mission muhimu kama hiyo ya Tabora, ambaye atatoa live updates ya kinachoendelea Tabora pamoja na picha za papo kwa papo? inahitajika digita camera moja tu ya laki mbili, laptop ya laki tano na Modem ya internet, kwa mwezi elfu 30.

Chadema kubalini katika hili mko dhaifu...; JIREKEBISHENI!!

Hilo nalo wazo. Nini mchango wako katika kuhakikisha hili linafanyika? au ndo kama kawaida watanzania kutafuta wapi hapaendi vizuri na kulalama badala ya kushiriki kuleta mabadiliko? Jukumu la kuleta ukombozi ni lakwetu wote, wale ni viongozi na wameweza kufanya lile walilofanya kwa resources chache walizo nazo na priorities hasa ukizingatia kazi ya uhabarishaji niya media. Kwakua unaona ipo haja ya kuawa na media strategy ingine ndani ya chama, unaonaje ukijitoa kama mchango wako katika ukombozi?

Unaweza kuliwezesha hili.. si lazima litoke kwa chama moja kwa moja. Kazi ya ukombozi ni yako na niyetu sote. Kuwa proud kwa kushiriki jitihada za ukombozi kwa kuwezesha hilo kutokea. Toa mchango wako sasa..,
 
TBC watarusha live? Si Wanajiendesha kwa kodi zetu bana. La sivyo nao wajumuishwe kwenye orodha ya mafisadi, wanatuibia kodi zetu

hebu kuwa kama mtu mzima wewe,au kakojoe ukalale! warushe live hata kama ni upuuzi wa mnropokaji slaa ati kodi zenu? nani yuko tayari kuona kodi zake zikichezewa kijinga vile ? no! subirini mjenge ikulu moshi kule hai
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom