Tabia za utongozaji wa wanaume

shaliza

Member
May 27, 2011
17
0
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.

Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
 
Wanawake waliowengi haana msimamo thabiti,
Mtu mnakutana naye siku moja,anakutongoza,tayari umeshakubali
Mtu anakupigia simu,humfahamu,hujawahi mwona unamwachia game,Hivi ni akili yenu au niseme shetani anawadanganya?
 
sasa mpendwa mbona kichwa cha habari kinakuwa tofauti na maudhui?manake kutongozwa sio tatizo,bali kutongozeka. btn, sijui kwa nn watu tumekuwa desperate namna hi kuhusu mmu (wote,hata wakaka siku hizi wanalia lia eti 'i am 30 and single!'
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
 
Tunaposema dunia ya sayansi na teknoloji ina maana nyingi sana,mojawapo ni hiyo!
Kwahiyo dhana nzima ya topic hii mimi na pingana nayo!!
 
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.

Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
Sidhani kama wanakubaliana kwenye simu bali simu ndio mwanzo wa kujuana na kukutana... kwahiyo makubaliano yanakuja baada ya kukutana au?
 
mhh kuna kabinti kalitongozwa kwenye simu mambo ya wrong number sijui nini....kakatumiwa ticket ya ndege kakatoroka kwao mpaka Mwanza kakamkuta jamaa mfupi kama vile viwatu vinavyouzwa Naigeria kwenye chupa!
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anaongea na demu kwenye simu ila siku wanaenda kukutana kimacho na kimwili alijificha kwanza amdhaminishe alivyomuona halipi akala kona na simu akazima!
 
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.

Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.

Simu ni mwanzo tu wa maelewano. Lazima mtaonana na kukubaliana.
Suala la kubakwa halina uhusiano na simu kama unavyosema.
Kwani wewe mwenyewe hujawahi kutongozwa kwenye simu??
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anaongea na demu kwenye simu ila siku wanaenda kukutana kimacho na kimwili alijificha kwanza amdhaminishe alivyomuona halipi akala kona na simu akazima!
hahahaahahahahah hajatulia huyo....kwani yeye alidhani anaongea nani jamani au ndon yale mambo ya sauti basi unaona mtu bonge la mrembo akitokea dada kiboga kasingiziwa!
 
Yaani demu ni mkenya anaongea English safi balaa mie nikamshauri kuwa abane kwanza asiingie kichwa kichwa! ukija gheto nitakupa hiyo stori vizuri we nikumbushe tu.
 
hahahahaahhahha weye hii story wataka kunipa gheto du...nakuogopa sokomoko!
 
Back
Top Bottom