Tabia za ma-H/girl.......

1. Kudowea chakula cha mtoto.
2. Kufungulia radio sauti ya juu.
3. Kugawa mafuta,unga,sukari.
4. Kuchelewesha kupika chakula.
5. Kuingiza vibwana ukiondoka.
6. Kupita na khanga moja mbele ya baba.
7. Kutoa harufu ya majasho.
8. ........
9. ..........

Mmmmh ni hivi kweli?
 
ni watu wa kuwaheshimu na kuwathamini sana maana tunawaachia nyumba zetu ikiwemo watoto wetu wana uwezo mkubwa wa kutufanyia mabaya tusiyoweza thania.........
 
Siku zote dada wa nyumbani anakwenda na utaratibu alioukuta,kama wenyewe mko disorganized atachelewa kupika.
Kama si wasafi nyie wenyewe na mazingira yenu na yeye atakuwa hivyo hivyo,kama nyumba yenu ni kama ka danguro na yeye ataingiza hivyo vibwana.
Kwa ufupi msichana anaji adjust na mlivyo.
 
Acha kuwadharau. Hizo ulizotaja ni tabia za mtu mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom