Tabia za ma-H/girl.......

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
1. Kudowea chakula cha mtoto.
2. Kufungulia radio sauti ya juu.
3. Kugawa mafuta,unga,sukari.
4. Kuchelewesha kupika chakula.
5. Kuingiza vibwana ukiondoka.
6. Kupita na khanga moja mbele ya baba.
7. Kutoa harufu ya majasho.
8. ........
9. ..........
 
Sijapenda uliyoandika hapo maana unajaribu kuwafanya watu wanaowalelea watoto wenu waonekane wabaya wakati hata ndugu yako anaweza kufanya uliyotaja. . . yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na tabia ya mtu na sio kazi yake. Ila umenikumbusha dada yetu mmoja aliyekua anatusaidia ye tulikuwaga hatumuoni akioga. . siku moja akaulizwa "dada hivi wewe hua unaoga saa ngapi?" akajibu "mimi baba. . . GHAFLA GHAFLA". Yani hua hapangi inatokea tu siku anaamua kuoga.
 
Sijapenda uliyoandika hapo maana unajaribu kuwafanya watu wanaowalelea watoto wenu waonekane wabaya wakati hata ndugu yako anaweza kufanya uliyotaja. . . yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na tabia ya mtu na sio kazi yake. Ila umenikumbusha dada yetu mmoja aliyekua anatusaidia ye tulikuwaga hatumuoni akioga. . siku moja akaulizwa "dada hivi wewe hua unaoga saa ngapi?" akajibu "mimi baba. . . GHAFLA GHAFLA". Yani hua hapangi inatokea tu siku anaamua kuoga.

kwa maneno mengine unakubaliana na mtoa sredi, kwenye kipengele namba 7, sio madam lizzy?
 
Kabla sijachangia embu andika na +positive points zao, naona umeandika negative tu.
 
1. Kudowea chakula cha mtoto.2. Kufungulia radio sauti ya juu.3. Kugawa mafuta,unga,sukari.4. Kuchelewesha kupika chakula.5. Kuingiza vibwana ukiondoka.6. Kupita na khanga moja mbele ya baba.7. Kutoa harufu ya majasho.8. ........9. ..........
Nowdayz tunachama chetu cha kutetea haki zetu,ngoja uone cha moto kwa hii sledi yako!!
 
kwa maneno mengine unakubaliana na mtoa sredi, kwenye kipengele namba 7, sio madam lizzy?

Not really. . .
Maana wengine hawakua hivyo. Ni huyu mmoja tu ambae akili zake zilikua zinaenda race kidogo. . . kwahiyo hata asingekua dada wa kazi bado angekua hivyo hivyo.
 
1. Kudowea chakula cha mtoto.
2. Kufungulia radio sauti ya juu.
3. Kugawa mafuta,unga,sukari.
4. Kuchelewesha kupika chakula.
5. Kuingiza vibwana ukiondoka.
6. Kupita na khanga moja mbele ya baba.
7. Kutoa harufu ya majasho.
8. ........
9. ..........

Unaonyesha wazi kama roho yako dhaifu sana kwenye kitu kuliko utu,kwani mfanya kazi wako akisikiliza redio kwa sauti huwezi mfahamisha apunguze sauti? au kugawa mafuta unga sukari hawezi kugawa kama hamna tabia yakuazimana na jirani zako au ndio nyie waso haya wana mji wao mnataka mpewe nyie tu?

Kutembea na kanga moja mbele ya baba huyu baba nae angekua baba kweli asingepoteza time yake na huyo mfanya kazi,kuchelewa kupika chakula hawezi kuchelewa kila siku unampa mfanya kazi zote wakati mmoja mtoto, kupika, kufua ,kusafisha, yani anakosa mda hata wakupumzika halafu unamlaumu kisa nimfanya kazi ebu kua muungwana na yeye pia amezaliwa na huwezi jua kesho Mungu atakushusha kiasi gani...

Kunuka jasho ukiwa wewe kama boss wake na mlezi wa watoto wako mwambie Mama mwenye nyumba amuite amfahamishe akiwa kama mwanamke mwenzie na atajirekebisha... kila mtu ametokea kwenye mazingira tofauti .........
 
1. Kudowea chakula cha mtoto.
2. Kufungulia radio sauti ya juu.
3. Kugawa mafuta,unga,sukari.
4. Kuchelewesha kupika chakula.
5. Kuingiza vibwana ukiondoka.
6. Kupita na khanga moja mbele ya baba.
7. Kutoa harufu ya majasho.
8. ........
9. ..........


Nawasiwasi na kichwa chako kama kiko sawasawa wewe au unamojawapo ya matatizo yafuatayo!!

1. ulipigwa kibuti na H/girl
2. unamatatizo ya akili wewe
3. umepigwa kibuti na demu wako so unawachukia wasichana!
4. housegirl wenu anatembea na rafiki yako
 
1. Kudowea chakula cha mtoto.
....Kutoa harufu ya majasho.
8. ........
9. ..........

Duh, watu mna dharau! Hata wewe ukiwa bize kama wao utakuwa na harufu ya majasho.

Kwa kauli yako, wewe u bado mdogo sana na hujui umuhimu wao. Sisi wengine house girls na house boys ndio walotusaidia kufikia utu uzima tukiwa salama na afya. Tunajua umuhimu wao na tunawaheshimi.
 
..... wanajua kutake care ya watoto kuliko hata mama!

Cha kushangaza mama akirudi home mtoto anamfurahia sana na kumganda, ila baada ya masaa mawili mtoto huyooo, anasepa kurudi zake kwa dada!
 
1. Kudowea chakula cha mtoto.
2. Kufungulia radio sauti ya juu.
3. Kugawa mafuta,unga,sukari.
4. Kuchelewesha kupika chakula.
5. Kuingiza vibwana ukiondoka.
6. Kupita na khanga moja mbele ya baba.
7. Kutoa harufu ya majasho.
8. ........
9. ..........
Hata mie sijapenda ulivyoandika kbs,
Hata km wana mapungufu sio yote hayo,kuwa na fadhila mkuu,
Hivi ulishawahi kushinda nyumbani ukaona majukum ya h/girl kweli ww?
Ilishakutokea akaondoka gafla alafu mna mtoto changa na wote mnatakiwa kwenda oficn!
Hivi km sio mikazi yenu hapo angenuka jasho?
Hivi km sio mshahara mbuzi unaomlipa angeshindwa kupata heala ya sabun nzuri,pafyumu na dodoranti?
Acha hizo,anakupikia,kufua,kujaza maji, kulea mtoto,usafi na mengine kibao,kuwa na shukran kwa yale mengi mema anayokufanyia samehe mapungufu machache aliyonayo kwan hata ww una yako.
 
Back
Top Bottom