Tabia za Facebook jamvini zinanikera

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
naona kuna wageni wameingia jamvini hawajielewi. Kwanza wanaandika vifupi mpaka basi kama ni kiingereza andika YOU sio U na kama ni kiswahili andika kiswahili fasaha hatutaki kifupi wala mkorogo Mfano SASA anaandika XAXA mbadilike bhana.
 
Wageni ni kina nani? maana mimi na wewe hatuna miezi 3 hapa.
Alafu Facebook ndio naona mtu akiwaza tu, anakimbilia kuandika ukutani: nimekerwa na hiki, nimekerwa na kile... bila kujali kama yamesha semwa au bado. nd that is what you are doing right now.
Ukiona lugha haieleweki wamesha sema report abuse mods washughulike. Akiona mara mbili mara tatu kakosolewa na PAW, reason: sms language, utaona mwenyewe anajirekebisha.
 
eh, Mwali?
Abuse niliambiwaga ni kama mtu umetukanwa ivi, au mtu katoa lugha ya kitisho ama udhalilishaji, wala si hivi vijisarufi, jukumu hilo ameachiwa FF.
 
Mada kama hii ilishakuwepo!! JF ina watu wengi, hatuwezi kufanana wote. Yasiyisomeka we yapite tu hamna haja ya kukereka.
 
Invisible alisema katika thread yake ukiona lugha ya sms, report na mods watashughulika. thread yenyewe ipo stuck jukwaa hili hili. soma.
 
naona kuna wageni wameingia jamvini hawajielewi. Kwanza wanaandika vifupi mpaka basi kama ni kiingereza andika YOU sio U na kama ni kiswahili andika kiswahili fasaha hatutaki kifupi wala mkorogo Mfano SASA anaandika XAXA mbadilike bhana.

kwenye red,hivyo ndio vitu gani?mswahili fasaha
 
Wageni ni kina nani? maana mimi na wewe hatuna miezi 3 hapa.
Alafu Facebook ndio naona mtu akiwaza tu, anakimbilia kuandika ukutani: nimekerwa na hiki, nimekerwa na kile... bila kujali kama yamesha semwa au bado. nd that is what you are doing right now.
Ukiona lugha haieleweki wamesha sema report abuse mods washughulike. Akiona mara mbili mara tatu kakosolewa na PAW, reason: sms language, utaona mwenyewe anajirekebisha.

Sikubaliani na ww!! umgongee mtu abuse wakati kaandika kifacebook ......solution ni kumchana tu mtu husika.
 
Wageni ni kina nani? maana mimi na wewe hatuna miezi 3 hapa.
Alafu Facebook ndio naona mtu akiwaza tu, anakimbilia kuandika ukutani: nimekerwa na hiki, nimekerwa na kile... bila kujali kama yamesha semwa au bado. nd that is what you are doing right now.
Ukiona lugha haieleweki wamesha sema report abuse mods washughulike. Akiona mara mbili mara tatu kakosolewa na PAW, reason: sms language, utaona mwenyewe anajirekebisha.

Usikute ana Accnunt mbili,Mx
 
Mada kama hii ilishakuwepo!! JF ina watu wengi, hatuwezi kufanana wote. Yasiyisomeka we yapite tu hamna haja ya kukereka.

Hata kama hatufanani!! mambo ya fb yaachwe huko huko fb. ikiwezekana hata neno facebook lisiandikwe kabisa huku jei efu.
 
Kuna thread ilianzishwa humu ndani na Invisible akasema ukiona post kama hiyo report abuse kama nakumbuka vizuri
 
Back
Top Bottom