stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,104
- Thread starter
- #41
Dah! Hebu rudia lugha uliyotumia. Ni Kiswahili fasaha kweli?
Unaanza sentensi kwa herufi ndogo
Badala ya kuandika Kiingereza, umeandika kiingereza
Badala ya kuandika Kiswahili, umeandika kiswahili.
Huweki nukta mwisho wa sentensi.
"mbadilike bhana" ndio lugha fasaha? "bhana" maana ya nini?
Huu ni mfumo wa kuanza sentesi kwenye simu yangu wakati mwingine nasahau kubadili ili nianze na herufi kubwa umenipata?