Makamura
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 356
- 550
Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana.
Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya wanamuziki, mitindo ya kucheza mwisho wa siku itamuaribia heshima kwa watu wa ugenini, Na sio vizuri mtoto kujifunza Umalando mapema. Mnapocheka na kufurahi mnawapa kichwa watahitaji jaribu more, Naomba mzingatie hilo ndugu zangu.
Tuwakuze watoto wetu katika hekima na Maadili ya Kitanzania na sio kisanii wala ya kuiga