Tabia ya Wanawake kufaidi Ofa na Treats za watu na kujifanya hawaelewi 'nia na dhumuni'...

Hahahahaaaaaaaa! Mtambuzi bana kile kitu cha strawberry ni balaaaaa! Zaidi ya Amarula! Juzi nilienda kukivizia MMI sijakikuta! Kama bado unacho si haba ukinigea!

Ila Mchezo hupati! HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!!!!!:becky:

Nasikia Cachiko (source Thando) aliondoka na lile jichupa... wewe nilikuwekea chini ya meza lakini ukalala wenzako wakaliwahi, niliona lichupa likipepea hewani kutoka meza moja hadi nyingine, kufika kwa akina Cachiko ngoma ililazwa chini ya meza.... haikuopnekana tena.

Nenda pale Mohans Obey zimejaa, ni jana tu nimetoka hapo kununua, na kuna dalili zote muhindi kupandisha bei maana demand iko juu mbaya wadada wanapishana mlangoni kila mtu kabeba jichupa lake.

Mie hata nikikupa nitakula kwa macho, nishajizoelea mie kuchunwa na kuachwa mazima..............LOL
 
Lara acha maneno hiyo wewe!!Unakuta mwingine anakuzimia ila domo zege anashindwa kukwambia then anaishia kukupa offer, we ukatae?Akuuuu babu wewe, sikatai!!Au mwingine amekutokea umempa za uso kuwa humtaki lakini bado anakufwatafwata na kukupa offer za kufa mtu akidhani kuwa kwa offer zake utamkubali, kiukweli mie sikatai ili mradi tu toka mwanzo nakuwa nimekupa ukweli kuwa sina interest na wewe!!
 
Tena wadada wengi wamesahau kabisa kauli ya Presidaa wa magogoni UKITAKA KULA, LAZIMA ULIWE
 
Tena wadada wengi wamesahau kauli/wito wa Prezdaa wa magogoni...............UKITAKA KULA, LAZIMA ULIWE
 
Lara acha maneno hiyo wewe!!Unakuta mwingine anakuzimia ila domo zege anashindwa kukwambia then anaishia kukupa offer, we ukatae?Akuuuu babu wewe, sikatai!!Au mwingine amekutokea umempa za uso kuwa humtaki lakini bado anakufwatafwata na kukupa offer za kufa mtu akidhani kuwa kwa offer zake utamkubali, kiukweli mie sikatai ili mradi tu toka mwanzo nakuwa nimekupa ukweli kuwa sina interest na wewe!!

Lara1 kataja wale wachunaji yaani anajua lengo ila kila kuchapo anakuja na vijisababu ili aendelee kufukuza tamaa zake za offer.
 
mwe!!! hao sio wanaume wa kweli...mwanaume w kweli ukila ofa yake lazima akugegede tena anakugegeda kweli. hiyo unayosema ni kwa vijana ambao bado hawajajua kuwashika wanawake kisawasawa na bado wana mentality ya kuwa demu ahuld be treated like a queen...only ur mum should be treated like a queen!!!

Real?...
 
kama sina interest na mtu,sichukui chake hata siku moja,huwa najiogopea visije vikaniponza.kwangu kupewa pewa vitu huwa sipendi.tangu mdogo nilionywa kuomba ni mwiko,mpaka leo nimezoea kutafuta mwenyewe tu.kama sina nitadunduliza hela,zikitimia,najinunulia mwenyewe
 
Damn Lala 1,this is crazy tupa mawe tupa mawe,hasa hawa college girl
anakuja kukukamua na team ya mpira,wakifika kila mtu anaagiza savanna bariidii
na kitimoto kilo 4 duh
 
  • Thanks
Reactions: LD
Na ile tabia mwanamke kaitwa mmoja wanakuja watatu kuchuna buzi huu ni unyanyasaji wa jinsia ya kiume.
 
Dah aisee kama kuna mtu ni muhanga wa hii mambo basi ni mimi...zinaliwaje aisee..ila mwisho wa siku naambulia kibuti...
 
mwanaume wa ukweeeeee kaumbiwa kutjitolea kwetu na wala hahesabu ukiona ankuhesabia ujue huyo kidume wasiwasi mpitie mbali na mlalamishi utamjua tu from the begining ni kumkalia mbali asije akakuanzishia thread bure eg WAKISHUA.

So tutaendelea kuvila kuwapa penzi ni makubaliano haihusiani na ofa hata kidogo ila mtu ka huyu unaangalia pa kumit nae isije kua private sana hata gari yake unaqpanda kimitego hachelewi kukaza vioo akakupitiliza unaposhukaga

chukua tano bibie,tena mijanaume mingine ni king'ang'anizi hasa......unaliambia hulitaki lkn bado lipo tu,km si kuchunwa atakuwa anatafuta nn kingine.
 
hili ndo tatizo la mindset urafiki hauina faida kisa K.Unajua urafiki wewe

urafiki upo but rafiki hatakiwi kuwa mzigo,mi nina kirafiki changu kila kikinitext tu
kifuatacho ni mzinga either vocha au tigo pesa nina emergence...to hell
 
Hili nalo ni neno.

Na wanawake wenye urefu wa chini ya 5' 5" bila kujalisha umbo lao ndiyo hatari kwa kupiga mizinga na kuingia tena barabarani kutafuta mwingine...........wako wengi sana wanatafuta..........

Wanaume waliojaza misuri bila kujalisha urefu wao, nao ni hatari kwa kupiga mzinga na kula tunda la mti wa katikati na kukimbia.

HII NI TAFITI YA KIJIMA. TAKE IT or LEAVE IT.
 
mwanaume wa ukweeeeee kaumbiwa kutjitolea kwetu na wala hahesabu ukiona ankuhesabia ujue huyo kidume wasiwasi mpitie mbali na mlalamishi utamjua tu from the begining ni kumkalia mbali asije akakuanzishia thread bure eg WAKISHUA.

So tutaendelea kuvila kuwapa penzi ni makubaliano haihusiani na ofa hata kidogo ila mtu ka huyu unaangalia pa kumit nae isije kua private sana hata gari yake unaqpanda kimitego hachelewi kukaza vioo akakupitiliza unaposhukaga

Utakuja kupigwa mande we endelea kula jasho la wanaume
 
Back
Top Bottom