gobore
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 715
- 352
...mpaka tunalala alila kama na 3 na asubuhi kabla ya break first akapata 3 nyengine tene hot one,mpaka leo sijaona hata missed call yake hata mie simtafuti
Hahaaaa what a morning......
...mpaka tunalala alila kama na 3 na asubuhi kabla ya break first akapata 3 nyengine tene hot one,mpaka leo sijaona hata missed call yake hata mie simtafuti
Hahahahaaaaaaaa! Mtambuzi bana kile kitu cha strawberry ni balaaaaa! Zaidi ya Amarula! Juzi nilienda kukivizia MMI sijakikuta! Kama bado unacho si haba ukinigea!
Ila Mchezo hupati! HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!!!!!:becky:
Sikuwa kwenye urafiki kwa sababu ya K,umenihukumu sana Suprise.hili ndo tatizo la mindset urafiki hauina faida kisa K.Unajua urafiki wewe
Lara acha maneno hiyo wewe!!Unakuta mwingine anakuzimia ila domo zege anashindwa kukwambia then anaishia kukupa offer, we ukatae?Akuuuu babu wewe, sikatai!!Au mwingine amekutokea umempa za uso kuwa humtaki lakini bado anakufwatafwata na kukupa offer za kufa mtu akidhani kuwa kwa offer zake utamkubali, kiukweli mie sikatai ili mradi tu toka mwanzo nakuwa nimekupa ukweli kuwa sina interest na wewe!!
mwe!!! hao sio wanaume wa kweli...mwanaume w kweli ukila ofa yake lazima akugegede tena anakugegeda kweli. hiyo unayosema ni kwa vijana ambao bado hawajajua kuwashika wanawake kisawasawa na bado wana mentality ya kuwa demu ahuld be treated like a queen...only ur mum should be treated like a queen!!!
Real?...
mwanaume wa ukweeeeee kaumbiwa kutjitolea kwetu na wala hahesabu ukiona ankuhesabia ujue huyo kidume wasiwasi mpitie mbali na mlalamishi utamjua tu from the begining ni kumkalia mbali asije akakuanzishia thread bure eg WAKISHUA.
So tutaendelea kuvila kuwapa penzi ni makubaliano haihusiani na ofa hata kidogo ila mtu ka huyu unaangalia pa kumit nae isije kua private sana hata gari yake unaqpanda kimitego hachelewi kukaza vioo akakupitiliza unaposhukaga
hili ndo tatizo la mindset urafiki hauina faida kisa K.Unajua urafiki wewe
we mafia boy, ulipomaliza hizo 3*3 zako ulimaliza hizo shida zake au ndo ATM ilisema netwek down