Tabia hii ya baadhi ya mabinti inaudhi sana

hii ishu iko complicated ukiiangalia kwa angle tofauti tofauti, but all in all asilimia kubwa ya madem au wanawake au wasichana wako material based sana, huna kitu, they don't give a shit about you, but wakigundua uko fresh wanakujia fasta sanaaa!
kabisaaaa mdau!!inauzi sana hiyo!!
 
Wengine hawana staha wala chembe ya aibu.Ujinga,uzuzu na ujuha ndo umewatawala akilini.Msichana kamwe hawezi kukusahau sura labda jina,na ndo mana unaweza zungumza nae machache ukijua hakujui ghafla anafunguka na profile za watu mashuhuri wa kitaa unaowajua.
 
badilikeni dada zetu .. sio mpaka tutoe ushuhuda jaribuni kupokea hii issue kwenye mtazamo chanya hii inasaidia sana kubadilisha jamiii
acheni ujuaji
tuko kitaa tunaganga njaa
 
iyo ata me imenitoke juzi kati kuna binti nilisoma nae juzi nipo ilala nikamuona akajifanya kanisahau nikaanza kujitambulisha mtu mzima badae sana akajifanya kunikumbuka nikamuomba namba kwasababu nilikuwa nawai kazin akachomoa kwamba cmu kaacha ofini kwake na akumbuki namba yake kichwa, cjui namba yangu kaitoa wapi baada ya cku mbili ana nipigia cmu 2onane nikapiga chini nikamwambi niko bize sana.wanaboa sana kwa kujiona wapo juu kumbe akuna ki2.
 
Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa na pale anajidai ndio kakukumbuka,miwisho kwa mawasiliano kama watu mlioishi au soma pamoja unaomba akupe namba ya simu anaanza ohh mimi huwa sitoi namba,ohh mchumba/mme wangu haruhusu au ohh simu yangu mbovo,kifupi anakunyima namba yake kabisa kabisa.ila siku zinapita anapata habari zako zaidi kuhusu wewe na nagundua uko sehemu yenye manufaa kwake,au unauwezo hasa wa kifedha na mwingine wowote wa yeye kunufaika,anaaza yeye mwenyewe kuitafuta namba yako,akiipata anaanza kukupigia simu kila mara na kujidai anaupendo mkubwa sana kwako..mi najiuliza inamaana unamsamini mtu ukijua tu anauwezo au ukiona anamasilahi fulani?? Hata namba yako tu ya simu uliona hana samani ya kuwa nayo,kwanini sasa ujidai unamjua na kmsaminini sana?!!

Shida yako wewe umeshaamini kuwa huwezi kuishi bila namba za simu za mabinti. Kama first time alijifanya hakukumbuki na akakunyima namba yake (ambayo hata hivyo mimi sijui unaitakia nini) na wewe si umwambie tu kuwa humkumbuki! Wewe kuna kitu unabembeleza kwake ndio maana unakosa ujasiri wa kumwambia humkumbuki, na huo ni udhaifu. Na katika maisha yako usipende kuiona thamani yako kupitia watu wengine.
 
shida yako wewe umeshaamini kuwa huwezi kuishi bila namba za simu za mabinti. Kama first time alijifanya hakukumbuki na akakunyima namba yake (ambayo hata hivyo mimi sijui unaitakia nini) na wewe si umwambie tu kuwa humkumbuki! wewe kuna kitu unabembeleza kwake ndio maana unakosa ujasiri wa kumwambia humkumbuki, na huo ni udhaifu. Na katika maisha yako usipende kuiona thamani yako kupitia watu wengine.
nazani mdau hujasoma kwa ufasaha maelezo yangu,sio kweli kwamba naitaji namaba ya binti na wala siongelei mtu mmoja alieninyima namba kwa mtazamo wako,naongea kwa ujumla na kwa usoefu,ni tabia ya mabinti wengi sana kuwazarau watu amabao wanawajua au kuwapotezea makusudi,ila wakijua unaweza kuwasaidia wanakuja kasi,hapo mi ndio tatizo langu lipo,sasa kama mtu ulisema humjui na huwezi mpana namba yako,kwanini baada ya kujua ni ofsa sehemu nawe unaitaji msaada ndio ujidai unamjua na kumsamini sana na kumkubushia mambo mengi ya nyuma? Kama wewe unamsimamo usijidai kumjua mtu kwa sababu unashida ua umejua anamasilahi,hii ni tabia mbaya sana sana,muache.
 
iyo ata me imenitoke juzi kati kuna binti nilisoma nae juzi nipo ilala nikamuona akajifanya kanisahau nikaanza kujitambulisha mtu mzima badae sana akajifanya kunikumbuka nikamuomba namba kwasababu nilikuwa nawai kazin akachomoa kwamba cmu kaacha ofini kwake na akumbuki namba yake kichwa, cjui namba yangu kaitoa wapi baada ya cku mbili ana nipigia cmu 2onane nikapiga chini nikamwambi niko bize sana.wanaboa sana kwa kujiona wapo juu kumbe akuna ki2.
pole sana mdau wambie hao,hivi mtu unapata faida gani kujionesha uko juu,kwani ni mpaka umzarau mtu ndio uonekane uko juu??inaboa sana kiukweli..nazani ni sahihi kumsamini yoyote bila kujali daraja lake.
 
Hii mbona simple binti akijidai kakusahau mwambie tu samahani dada naona nimekufananisha halafu endelea na hamsini zako. Labda kama una ajenda nyingine ya kumtaka.
 
Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa na pale anajidai ndio kakukumbuka,miwisho kwa mawasiliano kama watu mlioishi au soma pamoja unaomba akupe namba ya simu anaanza ohh mimi huwa sitoi namba,ohh mchumba/mme wangu haruhusu au ohh simu yangu mbovo,kifupi anakunyima namba yake kabisa kabisa.ila siku zinapita anapata habari zako zaidi kuhusu wewe na nagundua uko sehemu yenye manufaa kwake,au unauwezo hasa wa kifedha na mwingine wowote wa yeye kunufaika,anaaza yeye mwenyewe kuitafuta namba yako,akiipata anaanza kukupigia simu kila mara na kujidai anaupendo mkubwa sana kwako..mi najiuliza inamaana unamsamini mtu ukijua tu anauwezo au ukiona anamasilahi fulani?? Hata namba yako tu ya simu uliona hana samani ya kuwa nayo,kwanini sasa ujidai unamjua na kmsaminini sana?!!

Ni kwa vigezo vipi/mambo yepi alokufanyia/kukuambia hadi umeamua kusema kuwa amekutafuta kwa sababu amegundua uko sehemu ambayo ni ya kumnufaisha?? Vinginevyo utakuwa ulijihisi tu we mwenyewe na hapa unataka kutuaminisha fikra zako!!! Manake na nyie mnanata sana na viposition vyenu, mtu akikupigieni tu mnaona kama anajipendekeza tena na ukikuta na kakijitambi kameanza kunawiri basi ndo mnajiona vibosiiiiileeeee!!
 
Akijidai kakusahau, acha kujikomba, mwambie, nimekufananisha, chapa lapa. Unapoteza mda kujitambulisha ya nini sasa?
Kama mtu ana maringo, mteme.
 
Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa na pale anajidai ndio kakukumbuka,miwisho kwa mawasiliano kama watu mlioishi au soma pamoja unaomba akupe namba ya simu anaanza ohh mimi huwa sitoi namba,ohh mchumba/mme wangu haruhusu au ohh simu yangu mbovo,kifupi anakunyima namba yake kabisa kabisa.ila siku zinapita anapata habari zako zaidi kuhusu wewe na nagundua uko sehemu yenye manufaa kwake,au unauwezo hasa wa kifedha na mwingine wowote wa yeye kunufaika,anaaza yeye mwenyewe kuitafuta namba yako,akiipata anaanza kukupigia simu kila mara na kujidai anaupendo mkubwa sana kwako..mi najiuliza inamaana unamsamini mtu ukijua tu anauwezo au ukiona anamasilahi fulani?? Hata namba yako tu ya simu uliona hana samani ya kuwa nayo,kwanini sasa ujidai unamjua na kmsaminini sana?!!

Suala la kumthamini mwenye fedha au maarufu hilo lipo sana tu si kwa wanawake tu ni jinsia zote na rika zote may be. Ndo sehemu ya maisha yetu hapa bongo may be na duniani kote, people with someting ndo wako recognized na respect kwa sana. nenda fb mastaa wakirusha status hata za shhhhhhh, utaona comments zitakazojaa, andika wewe post ya msingi, utaona replies . Mpotezee tu huyo.
 
Temana nao bana maana hata na mimi huwa inanotokea lakini ndio hivyo huwa nawapotezea mbaliiii vibaya vibaya.
 
mkuu hiyo tabia sio wanawake tu,hata mie inanikera kweli kuona jinsi watu ambao walikua wanakuletea mapozi kabla hawajajua kuwa wewe sio tena yule wanayedhani wanapoanza kujipendekeza wanapojua maisha yako yalivyo kwa sasa.Inaumiza lkn ndio binadamu tulivyo,ukiwa maskini hakuna atakayekudhamini,ukiwa nacho utazungukwa na wanafiki kibao.
 
tabia ya kudharau watu ni very tru. Hata kwa wanaume ila sie Wanawake tumezidi. mbaya zaidi tunawazarau zaidi Wanawake wenzetu tukiona wako chini yetu kimaisha na kujifanya tumewasahau. Ila kwenye hilo la namba ya simu Kama ushajua hivo nawe unaendelea kuwaomba za nini? Potezea akijiskia kukupa namba ya simu atakupa. Na akiringa siku akikutafuta na wewe usimkumbuke. Cha msingi usigeneralize issues. Wengine reasons zao ni genuine. Kama mimi kuna cku nilikutana na kaka mmoja nilisoma nae primary sikumkumbuka kwa vile alikua kibonge sana enzi hizo and now kapungua. Nlikua na namba mpya sikuishika kichwni na simu ilizima. So aliponiomba namba nikashindwa kumpa but akaniachia yake nikamtafuta baadae.
 
Back
Top Bottom