Taasisi tatu zinazolalamikiwa sana na watu

TAI DUME

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
8,859
23,119
Heading inajieleza.
1. Tanesco: Hii taasisi sidhani kama inapita siku haijaporomoshewa mitusi na kuwakera watu kutokana na kukata umeme hovyo tena bila taarifa.
2. Takukuru: Kilio na malalamiko ya wengi ni jinsi inavodili na virushwa vidogo vidogo na kuacha wanaokula rushwa kubwa kubwa wakihimidiwa mitaani.
3. ccm: hilo hata wenye taasisi yao wanalijua kwamba raia wengi wanaishutumu kwa kuwasababishia umaskini mkubwa.

Usiniulize kuhusu sampo saizi wala methodolojia niliyotumia ila habari ndio hiyo
 
Sasa ww uliyoleta hii madaa!!Takukuru hapo unailaumu kwa lipi!?Unajua ukomo wa Takukuru ktk kushughulikia vitendo vya rushwaa!?Mm nafikiri ungeilaumu mahakama sio takukuru jombaaa.Takukuru haina meno jombaaa.Wakipewa meno ndio utauona mziki wake.
 
Mkuu haya ni malalamiko ya raia wengi huku mtaani, bila kujali ukomo au ukali wa meno yake
 
Sasa ww uliyoleta hii madaa!!Takukuru hapo unailaumu kwa lipi!?Unajua ukomo wa Takukuru ktk kushughulikia vitendo vya rushwaa!?Mm nafikiri ungeilaumu mahakama sio takukuru jombaaa.Takukuru haina meno jombaaa.Wakipewa meno ndio utauona mziki wake.

Kwanini.unaitetea TAKUKURU mwenzako kasema kama kunavnyongeza unaongeza lkn c kukwashi mawazo ya mwenzako??????
 
Sasa ww uliyoleta hii madaa!!Takukuru hapo unailaumu kwa lipi!?Unajua ukomo wa Takukuru ktk kushughulikia vitendo vya rushwaa!?Mm nafikiri ungeilaumu mahakama sio takukuru jombaaa.Takukuru haina meno jombaaa.Wakipewa meno ndio utauona mziki wake.

Katika report ya mwaka jana, takukuru inaongoza kwa kupokea rushwa, inapaswa kulalamikiwa!
 
Hizo siasa tu jombaaa.Kuna ushaidi wwte kwa mtu wa takukuru kukamatwa kwa kupokea Rushwaa!! au na ww unaingea tu.
 
Back
Top Bottom