Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,607
- Thread starter
- #61
Hiyo hoja namba moja ni ya umuhimu sana sana... hiyo nadhani ndo intelligensia ya kiuchumi.. kama kitengo kipo basi kiongezewe nguvu ili ki inform serikali kwa wakatiUmeandika hoja jadidifu ambayo kila nukta imejaa uzalendo na mahaba kwa nchi yetu.
Kuna wakati nikishauri kuwa serikali itumie wataalam wake kufanya haya yafuatayo
- Irasimishe dawati la biashara na uchumi kuwa kurugenzi kamili pale TISS. Wanajua
- Serikali ianzishe makapuni kwa ubia na watanzania wazalendo. Tanesco iuze hisa zake
- TIC yaani kituo cha uwekezaji kiwe na dawati la kuatamiza wawekezaji wa kati ili kuwezesha Watanzania kukua into investment sector worldwide.....