Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

Uislam ni itikadi za kitumwa zilizoanzishwa na mwarabu. Kwa kujificha kwenye kichaka cha dini, waliwatesa na kuwaua babu zetu na kuwapeleka kwenye utumwa.

Nyie vitukuu vya walioteswa mnawakumbatia hao wahuni na kuwaita ndugu zenu. Mmelaaniwa

Uislam leo hii hakuna kontinenti usiokuwepo na una takriban watu billion 2 wa nchi kama si zote duniani basi 99%.

Umeusoma Uislam?
 
Sawa wewe bibi mpuuzi unadhani gaza kimebaki nini kama sio ghost town.
Unaonesha umejazwa sana ujinga na mazayuni na ujinga umekujaa.

Huoni kuwa Mwenyezi Mungu mkubwa hapo? Walilijenga wenyewe mazayuni hilo kambi la mateso la wazi na sasa wanalibomowa wenyewe.

Jionee kimbembe hiki wanacholnana nacho mazayuni huku wakisaidiwa na jeshi kubwa duniani la mabwana zao wa kimarekani:

 
Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake.

Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa na wajanja na kuisha kabla ya kufika kwako. Maana kuna watu wanajuwa kukomba halwa hao, si mchezo.

Kwenye tovuti za YouTube nimekuwa nikizifatilia sana habari za kijasusi za kutoka vyanzo vitatu, nilikuwa nazileta JF kiaina fulani, lakini kwa bahati nzuri au mbaya, wengi walikuwa hawazioni umuhimu wake. Hata uzi wa kwanza kabisa kabla ya kutangazwa kutakuwa na kusitisha mapigano niliuleta hapa JF kutokea moja ya vyanzo hivyo.

Kama kawaida, wengi ya wana JF mapoyoyo hawakuitilia maanani habari hiyo, baadhi waliitilia maanani na kuanza kuuliza maswali ya hapa na pale, mpaka siku mbili tatu baadae ilipotangazwa kweli kusitisha mapigano na kubadilishana wafungwa ndiyo wachache wenye uelewa wakaanza kuzifatia post zangu kwa kina.

Ya leo haya ni makubwa zaidi. Someni kwa kina na sikioizeni video clips nilizobandika humu, asiyeelewa aulize swali, sijaweza kuleta habari yote post itakuwa ndefu sana, isipokuwa nimechukuwa kidogo kidogo kutokea huko, kulikounguwa shoka mpini ukabakia:

Tafsiri kwa msaada wa "google translate".

55 Mpango wa Mossad, CIA, Misri na Qatar Kutana kwa ajili ya mvutano wa Israel na Gaza waendelea


Maafisa wa juu wa ujasusi wa kutoka Amerika, Israeli, Misri na Qatar wanakutana Qatar kujadili suala la uwezekano wa kusitisha mapigano moja kwa moja na kubwa zaidi ni jinsi ya kubadilishana wafungwa kati ya Israel na Hamas.

Kwa nini wanakutana hivi sasa? Kama unaweza kufahamu kuwa kumekuwa na kipindi cha Makubaliano ya awali ya kusitisha mapigano ambayo yameongezwa muda zaidi Wakati Mkataba wa awali wa kusitisha mapigano waliokubaliana wote.

Hamas na Israel walikubaliana kuhusu idadi ya watu ambao watakuwa wanaachiwa na Israel na Hamas. Kimsingi, majina ya ya wanaoachiwa hayatochapishwa chapisha kwa sababu za kibinadam. Hata hivyo walikubaliana kuwa watakuwa wengi wanawake na watoto na iliendelea hivyo kama tulivyokuwa tunashuhudia.

Makubaliano pia yalikuwa ile iwe hali ya awali huku kila upande ukiangalia njia bora zaidi ya kufanyika. Liliendelea zoezo hilo mpaka muda ukawa umeongezwa

Ikaonekana kuwa kwa mpango huuunoendelea sasa ni watu 300 tu kutolewa Israel na 100 tu kutokea Israel watakaoachiwa. kuna uwezekano pande zote zikapoteza wafungwa wale wakubwa ambao kila mmoja wao aliwania watolewe, hususan mazayuni ambao walishikiwa majenerali wao na wakuu mbali mbali wa kijeshi katika siku 48 za mapigano. Wakaona Duh hapa tutapoteza watu.

Na Mazayuni walipopata habari za Kiintelijensia kutoka kwa wafungwa waliowachiwa, wakaona hapa imekula kwetu. Ikumbukwe kuwa mateka wote wa Kiyahudi walioshikiliwa na Hamas waliozidi miaka 18 ni wanajeshi kamili na wale wazee wote ni wanajeshi na majasusi wastaafu, ndiyo hao wanaowekwa kwenye vijiji vya mpakani (Kibutz) na hawawekwi tu huko watu kiuholela.

Ikabidi kupitia Wakuu wa ujasusi, imeonekana hawa wanaongea lugha moja kuliko wanasiasa, itumike fursa na nafasi ya msingi hii ili kimsingi kujaribu na kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano bilqkupoteza Mfungwa yeyote mkubwa kwa pande zote. Hamas waakaelewa kuwa wao ndiyo wameshikiia turufu.

Tafadhali mengine yasikilize kwenye hii video clip, pia mnaweaa kuuliza chochote kwa ufafanuzi zaidi, kwani habari ni ndefu kidogo.

Cha muhimu tukae mkao wa halwa tungoje mapiganoi yasitishwe kabisa na Wapalestina wakabidhiwe nchi yao kamili kama mipaka ya 1967 ilivyokuwa.

Kwa namna yoyote ile, huu ni ushindi mkubwa sana kwa Wapalestina.

Viva Hamas Viva Palestine Viva wapenda haki wote duniani.



View attachment 2829047
Kweli kichapo cha gaza kimekutia wazimu.
USIJE TU KUUKIMBIA HUU UZI 🤣🤣🤣🤣
WEWE SI ULISEMA IDF HAWAWEZI KUINGIA GAZA NA UKAJIAPIZA 🤣🤣
 
Kweli kichapo cha gaza kimekutia wazimu.
USIJE TU KUUKIMBIA HUU UZI 🤣🤣🤣🤣
WEWE SI ULISEMA IDF HAWAWEZI KUINGIA GAZA NA UKAJIAPIZA 🤣🤣
Hawjqkimbia Hamas frontline kwa siku 68 leo, huo peke yake ni ushindi mkubwa sana.

Sasa hivi dunia nzima wanaimba Hamas, Palestina. Kam siyo ushindi ni nini huo?
 
Hawjqkimbia Hamas frontline kwa siku 68 leo, huo peke yake ni ushindi mkubwa sana.

Sasa hivi dunia nzima wanaimba Hamas, Palestina. Kam siyo ushindi ni nini huo?
TUACHE MAMBO YA WAARABU NA WAYAHUDI HAWANA JIPYA FAIZA..
OMBI LANGU VIPI???
NAKUTUMIA NAMBA YA SIMU TUYAJENGE
 
Back
Top Bottom