Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,129
35,152
Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote ikiwa itawapoteza mateka wake wote waliobakia mikononi mwa Hamas, kasi na nguvu ya operation zake za kivita ardhini imeongezwa maradufu kuelekea upande wa kusini mwa Gaza ili kufuta uchafu wowote wa kigaidi!

Embu sote tujiulize haya maswali ya msingi ili kupima upeo wa wapalestina na kiburi cha Hamas:

1. Kulikuwa na ulazima wowote wa Hamas kufanya tukio la 7 oktoba?

2. Hamas ilifahamu nini kibaya dhidi yao na wapalestina kingefuata kutoka kwa Israel baada ya tukio lile?

3. Wapalestina wanafaidika nini kuendelea kuwakumbatia Hamas mpaka leo hii?

4. Wapalestina walikuwa wanajua gharama za kuwakumbatia Hamas zikoje?

5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?

6. Kama tangu mwanzo Wapalestina, Hamas na dunia nzima wanajua wazi mwisho wa vita hii Hamas itakuwa kwa sehemu kubwa imefutika kabisa, wapalestina wengi wamekufa na eneo karibu lote la Gaza kuwa chini ya udhibiti wa Israel, kwanini waligoma kusalimu amri mapema tu?

7. Kwanini wapalestina (wanawake, watoto, vijana na wazee) walishangilia na kusheherekea kwa shangwe kubwa tukio la Hamas la 7oktoba la kuvamia, kuteka, kuua raia wasiokuwa na hatia wa israel na mataifa mbalimbali?

Walijua nini kingefuata?

Walishindwa kulaani na kuomboleza?

8. Kuna ulazima gani kwa Hamas kuendelea kushikiria mateka wa kiyahudi mpaka leo hii?

9. Kwanini wapalestina walishindwa kutumia vyema muda wa usitishaji mapigano? Nini mantiki ya kubakia hapo hapo kwenye uwanja wa vita kama hawako tayari kufa, kujeruhiwa au kuishi kwa mateso wakati kuna upenyo wa kuondoka umetolewa?

Kwanini Hamas haikutumia huo muda kusalimu amri ili kuepusha umwagaji damu kuendelea?

10. Ni vipi mpaka leo hii wapalestina bado hawajagundua kuwa wao wanatumika na baadhi ya mataifa ya kiarabu kama chambo tu ya kupambana na Israel?

Kwanini hawajiulizi mataifa ya kiarabu yanaishia kulaani tu lakini hawapeleki askari wao kule kupigana?

UJINGA NI MAUTI...
KIBURI NI KABURI....
AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO...
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
Okay, sawa nikubaliane na wwee kuwa hakikubaliki, sasa kwanini wapalestina wakulibali kuangamia wakati wamepewa akili ya kuunganisha mambo na kuamua kwa hekima?
Je, wako tayari kuangamia ili dunia ilaani Israel?
 
Hawa jamaa niliskia juzi wana mapatano ya amani, yaliishia wapi?

Anyway, Hamas walijua kisasi cha waisrael kitakuwa cha kawaida, wakaamua kufanya shambulio kama utani mbaya uliosababisha mauaji, sasa ndio wanajuta.

Naamini hata Wapalestina sasa wanaweza kutengenezewa mazingira mazuri, wapate watawala wapya watakaokuwa na utu, wasio na tabia za kigaidi, ili waijenge sehemu ya nchi yao itakayobaki mikononi mwao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote ikiwa itawapoteza mateka wake wote waliobakia mikononi mwa Hamas, kasi na nguvu ya operation zake za kivita ardhini imeongezwa maradufu kuelekea upande wa kusini mwa Gaza ili kufuta uchafu wowote wa kigaidi!

Embu sote tujiulize haya maswali ya msingi ili kupima upeo wa wapalestina na kiburi cha Hamas:

1. Kulikuwa na ulazima wowote wa Hamas kufanya tukio la 7 oktoba?

2. Hamas ilifahamu nini kibaya dhidi yao na wapalestina kingefuata kutoka kwa Israel baada ya tukio lile?

3. Wapalestina wanafaidika nini kuendelea kuwakumbatia Hamas mpaka leo hii?

4. Wapalestina walikuwa wanajua gharama za kuwakumbatia Hamas zikoje?

5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?

6. Kama tangu mwanzo Wapalestina, Hamas na dunia nzima wanajua wazi mwisho wa vita hii Hamas itakuwa kwa sehemu kubwa imefutika kabisa, wapalestina wengi wamekufa na eneo karibu lote la Gaza kuwa chini ya udhibiti wa Israel, kwanini waligoma kusalimu amri mapema tu?

7. Kwanini wapalestina (wanawake, watoto, vijana na wazee) walishangilia na kusheherekea kwa shangwe kubwa tukio la Hamas la 7oktoba la kuvamia, kuteka, kuua raia wasiokuwa na hatia wa israel na mataifa mbalimbali?

Walijua nini kingefuata?

Walishindwa kulaani na kuomboleza?

8. Kuna ulazima gani kwa Hamas kuendelea kushikiria mateka wa kiyahudi mpaka leo hii?

9. Kwanini wapalestina walishindwa kutumia vyema muda wa usitishaji mapigano? Nini mantiki ya kubakia hapo hapo kwenye uwanja wa vita kama hawako tayari kufa, kujeruhiwa au kuishi kwa mateso wakati kuna upenyo wa kuondoka umetolewa?

Kwanini Hamas haikutumia huo muda kusalimu amri ili kuepusha umwagaji damu kuendelea?

10. Ni vipi mpaka leo hii wapalestina bado hawajagundua kuwa wao wanatumika na baadhi ya mataifa ya kiarabu kama chambo tu ya kupambana na Israel?

Kwanini hawajiulizi mataifa ya kiarabu yanaishia kulaani tu lakini hawapeleki askari wao kule kupigana?

UJINGA NI MAUTI...
KIBURI NI KABURI....
AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO...
Acha uongo FaizaFozy kasema IDF wote wamechomwa moto huko Gaza na wamekubali masharti yote ya Hamas.
 
Je unajua kikundi cha Hamas kiliasisiwa na taifa la Israel
 
sio kiburi ni haki yao na sikia nikwambie kuwa hakuna anayeweza kuwamaliza hamas
 
Ndio sawa na Ukraine, kams angekubali yaishe tu angezuia vifo na maafa mengi tu ila kakaza shiko et anapigania nchi yake matokeo yake ni maafa si nchini kwake tu bali sehemu kubwa ya dunia.

Duniani kuna ujinga mwingi sana.
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
Wewe ulitaka Israel wafanye Nini ili kikubalike ja jamii yote duniani?
 
Wangelipiza hicho kisasi kwa kiasi walichochokozwa, sasa kisasi kimekuwa zaidi ya na vile walivyochokozwa. Kunawekwa makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda ila muda ulivyoisha bado et anaendelea tu kuteketeza watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom