Taarifa ya Said Mkumba, Mbunge wa Sikonge

mkuki kwa nguruwe , kuna kila sabab spika asiwe na itikadi ya chama chochote kama wenzetu kenya hii itaondoa upendeleo
 
Huyu ni kilaza wa kutupwa na jimbo lake huku linanuka kwa kila uozo ...hakika anastahili kuchapwa hata viboko huyu malaya mkubwa
 
Huyu Nkumba uenyekiti wa mkoa CCM wa baba yake ndiyo ulimpa ubunge Sikonge,baba yake kaisha pigwa chini sidhani kama atarudi tena bungeni.Yaani kwa kweli Elimu nadhani sasa ianze kuzingatiwa kwenye nafasi za uwakilishi wa wananchi kama udiwani na ubunge.
 
daah kwel hapa sasa ule usemi wa tuweke akiba ya maneno ndo unapoapply...madongo yote yale et leo nin hahahahahaha
 
Amesoma alama za nyakati.Pamoja na umbile lake dogo kumbe ni mjanja wa kufahamu nyakati.Vua gamba vaa gwanda!!
 
Huyu Hamna Kumpa Nafasi ya Kugombea Ubunge, hadi 2020 akiwa ameshakijenga chama vya kutosha
 
Huyu bwana nimeona taarifa kahamia chadema , clarification pleaseeee.
 
Back
Top Bottom