Taarifa ya Said Mkumba, Mbunge wa Sikonge

kupelwa

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
1,087
450
nimeona kwenye runinga wakati wa kuchangia bajeti ya wizara ya kilimo , mbunge kafulila alipokuwa akichangia, alitamka ndani ya bunge kuwa bajeti ya mwaka huu ya wizara ya kilimo ni ya kizee.ndo akaibuka mkumba na ngojera, badala ya kanuni ya kuondoa lugha ya kuudhi kwa kutumia kifungu kinachotakiwa akatoa taarifa.Ikumbukwe huyuhuyu mkumba alishawahi kutamka kuwa wanaoona uchungu , waende hosipital wakajifungue, siku hiyo alikuwepo naibu spika wala hakujali.lo naye ati maneno ya kafulila yamemuma ayaondoe.Kulikoni maneno ya kuudhi kwa wapinzani yakuudhi, yake matamu.
 
mwenyekti zungu alipomaliza akamhoji kafulila kama ataondoa kauli yake ya bajeti ya kizee, kafulila akakumbushia kanuni iliyotumika ni taarifa , na si kanuni ya 64, ambayo haimlazimishi kuondoa kauli yake, naye akajibu, taarifa mtu anaweza kukubali au kukataa.kafulila alikataa kuondoa kauli yake.mkumba hamnazo ni nazi wa kiccm uchwala, hawa ndo kupingiwa kampeni ya kuwaondoa na M4C
 
Tunawasubiri 2015...watz wameshajua vikwazo vya nchi ni ccm na wabunge wote na serikali yao ya kifisadi na kijanjawidi
 
Hivi huyu ndiye yule mbunge ambaye CV yake ililetwa hapa jamvini? Ndiye yule aliyesoma primary miaka 9?
 
kwa aibu hata wakati wakuchangia , amesifia hotuba ya upinzani kuwa ni nzuri , kama kujisafisha kwa ujinga wake
 
Eti nasikia ana wake 3

Ha ha ha ha ha ha ha..na kwa afya ile atawamudu kweli? Halafu leo nimeuona hapa Dodoma akiwa CRDB benki mida ya jioni na GX 110 nyeusi akiwa na binti mmoja, sasa sijui ndio mke wake au ndio kama kawaida ya wabunge wa CCM?
 
Ndo yule mbunge mwenye kamwili kadogo kadogo?

Ndo huyo huyo liwahi kulilia posho ili naye anenepe! Alimwambia Mh. DHAIFU aruhusu posho iongezwe kwa vile ameshindwa kunenepa shauri ya posho kuwa ndogo!
 
Kanakonda kwa kwa kubeba zigo zito(chezEya mhagama weye)lazima ukonde muulize Rwakatale
Ndo huyo huyo liwahi kulilia posho ili naye anenepe! Alimwambia Mh. DHAIFU aruhusu posho iongezwe kwa vile ameshindwa kunenepa shauri ya posho kuwa ndogo!
 
Back
Top Bottom