Taarifa ya Msimamo wa CDM Juu ya Uteuzi wa Tume ya Mchakato wa Katiba Mpya

Freeman hatoweza kutoa Tamko

Tamko lishatolewa na baba mkwe wake bwana Mtei

so sitegemi mabadiliko sana unless wenye common sense waingilie
 
kuleta tofauti za udini ni ujinga wa Tanzania wenzangu mimi hii ki2 inanikera huku Unguja mimi naitwa kafiri eti, na kingine kwani huko ccm hakuna waislamu ndo wameridhika ati kuburuzwa ebu tuachane na mambo ya dini humu tujadili v2 vyenye manufaa haya basi mbona rais na makamu wake wote waisilam na haijawakitu upande wapili?
 
Mimi sijarizika na wajumbe wa upande wa Tanganyika kati ya wajumbe 15; wanne tu ndio waislam kwanini? ina maana Tanganyika inawakilishwa na wakristo tu?
Ruksa kuwasilimisha wajumbe 11 wasiokuwa waislamu!
 
Naamini ingekuwa other way round hapa pasingetosha say wakristo wawe wanne kati ya watu15??? sijui ingekuwaje..

Waislam masheikh wamelalal sana aisee shame on them??

Waislam hawana shida wapo 19 katika tume nzima!
kwa tanganyika kuna mama mwantumu hata angekuwa peke yake tume nzima anatosha, huyu ni mkuu wa chuo cha kiislam MUM.
 
Naamini ingekuwa other way round hapa pasingetosha say wakristo wawe wanne kati ya watu15??? sijui ingekuwaje..

Waislam masheikh wamelalal sana aisee shame on them??
Itoshe kusema aliyefanya uteuzi ni muislamu henceforth hata hao wakristo unawaona wewe ni wakristo majina tu in their inner spirit they are clean muslim!
 
More critical condition and boycot it, we don't need wasting of time.
Better CDM to look a more active political strategy through 2015
which can make Ccm to fall.
 
Nilichoipendea hii tume ni kuwa TUTAPATA SERIKALI TATU! Huu ndo msimamo wa wazenji na ndo WANATAWALA tume hii. Mengine tutarekebisha mbele ya safari. I need my lost country!
 
Kwanini aisee? kweli nimesikitika sana JK kuchagua viongozi wakuu wa tume wakristo (chair na makamu) wake..hii katiba lazima itakuwa na elements za kikanisa ...bado sijarizika au unaona sawa

Kwanini katika watu 15 wa Tanganyika 4 tu ndio wawe waislam (very unfair representation of muslims in tanganyika)

Na wajumbe kutoka Zanzibar waislam ni wangapi na wakristo ni wangapi?
 
Mimi sijarizika na wajumbe wa upande wa Tanganyika kati ya wajumbe 15; wanne tu ndio waislam kwanini? ina maana Tanganyika inawakilishwa na wakristo tu?

Ndugu Topical fikiri daima kwa kutumia kichwa sio miguu.

Ila nimesikitika kuona Prof. Kabudi naye yumo ktk Tume hii muhimu kwa mstakabali wa Taifa, huyo jamaa kimsingi alikuwa hataki katiba mpya, sasa mtu wa namna hii mie imani yangu kwake ni ndogo, Pili huyo jamaa ni mwoga kama sio hivyo basi kuna kundi analitumikia kiasi cha kushiundwa kutoa mawazo yake huru kwa hofu ya kunyoshewa kidole

About the ratio, I do not care kwani wanaenda kuandika katiba ya Jamhuri ya Kiislam/Kipagani/Kikristo pale. Kama kuna mtu pale atatetea shriea za misikitini dawa ni kupiga chini tu, tunataka katiba ya WaTZ sio vinginevyo anayeona anaonewa ahame nchi.... tunaendelea na mnakasha
 
Asante kwa taarifa.Nina imani na mzee Warioba na mzee Salim lakini wasiwasi wangu unakuja wanapokuwa wote ni wanaCCM nguli,...sijui ngoja tuone.Tunasubiri kwa hamu kubwa tamko la CDM.Na pia sijaridhishwa na kutokuwepo gwiji la sheria nchini Prof.Shivji.Kwa vyovyote vilehakupaswa kuachwa katka tume hii.
 
CDM hawajawahi kutoa taarifa ya kikao chao cha siri na Mh. Rais. nakumbuka Katibu Mkuu wa CDM Dr. Slaa alituahidi humu kuwa baada ya vikao vya kamati kuu wangetoa taarifa lakini.hadi sasa taarifa haijatoka na leo wamekuja na taarifa nyingine ambayo nayo inasubiri uchambuzi ili waweze kutoa taarifa!
 
kukosekana kwa prof issa shivji...kwangu ni pengo kubwa sana na nina wasi wasi na mwenyekiti wa tume na msaidizi wake.????
Angelikuwepo prof issa shivji....moyo wangu ungelikuwa swaffffffffffffiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisa...

barbanas samata jaji mkuu mstaafu pia ni muhimu sana na mzalendo kuachwa kwake ni mapungufu.

Issa shivji angekuwa mwenyekiti si kada wa chama cha siasa chochote na makamu angekuwa jaji samata si mtu wa ndio mzee system inamtenga
 
mimi nadhani tusipoteze nia nzuri ya JF kama mtu katoa hoja hata kama hakuitoa kwa njia nzuri tuirekebishe then tuitolee majibu sahihi na si kumtukana! au kumkatisha tamaa. mi nadhani kila mtu ana nafasi ya kuwakilisha kile anachofiri! ili kama haelewi aeleweshwe na pengine hoja yake ina mantiki! tuige mf. wa cdm. hawakurupuki kujibu hoja ya mtu hata kama ina majibu mepesi... ndg zangu tuwe kitu kimoja kwa utanzania wetu. siasa, dini, rangi, kabila, n.k visituharibie utanzania wetu. AMANI.
 
Mimi sijarizika na wajumbe wa upande wa Tanganyika kati ya wajumbe 15; wanne tu ndio waislam kwanini? ina maana Tanganyika inawakilishwa na wakristo tu?
Hivi wewe Mkuu ni Mtanzania unayelifahamu TRaifa lako vizuri?
Ungekuwa unaifahamu Tanzania usingekuwa na mawazo taka namna hii.
Huo upuuzi wenu hauna nafasi Tanzania hata kidogo.
 
Back
Top Bottom