PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
Juzi nilitembelea Hospitali moja kubwa Nyanda za juu kusini Mkoani Iringa, inaitwa ILEMBULA, inayomilikiwa na Madhehebu ya Kilutheri.
Katika maongezi na jamaa zangu nilionyeshwa nesi mmoja ambaye niliambiwa kuwa ana skendo ya aina yake kwenye jumuia hiyo!
Niliambiwa kuwa nesi huyo ana tabia iliyokubuhu ya kufanya mapenzi na wagonjwa wa jinsia ya kiume.
Nilisimuliwa kuwa kuna mgonjwa aliyekuwa amevunjika mguu na hivyo kutundikiwa mawe ya kilo kadha, wenyewe wanaita traction, na kawaida wagonjwa hao hukaa hospitali kwa muda mrefu.
Nesi huyo bila ajizi aliingia mahusiano na mgonjwa huyo, na akafikia hatua ya kuomba apangiwe zamu za usiku.
Lakini cha ajabu kabisa ni kuwa nesi huyo inasemekana kuwa akiwa zamu za usiku anasukuma kitanda cha mgonjwa huyo kwa madai ya kwenda kumwogesha, lakini badala yake anamwingiza katika chumba fulani ambako anacontrol zoezi zima la kufanya penzi na mgonjwa huyo!, na hatimaye kumrudisha eneo lake baada ya makasheshe...arty:!
Nauliza kwa watu wa tasnia ya afya, je mgonjwa wetu huyu anapata athari za namna gani, na kama anatibika kisaikolojia kwa tendo hilo naomba mnijuze.
Tasnia ya MMU, mnalisemeaje hili?