Taarifa ya Ikulu: Serikali yakanusha kuwa itafuta Matumizi ya mitandao ya kijamii nchini

Status
Not open for further replies.
Mzee anahasira... Katumia gharama kutengeneza movie yake jana alafu wote mkaipa kisogo....
Ila mi nachoweza sema kufungia mitandao ya kijamii hamuwezi hata kwa ndumba... Tustishane kiboyaboya hapa
Kama kweli vidume fungieni muone hizo kodi za makampuni ya simu mtazitoa wapi
[HASHTAG]#Mwafaaaaaaaaaa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Tusipangiane[/HASHTAG]
 
Na ikifungwa kufunguliwa tena labda ni 2025!! Duh! Aliyeibuka na Tanzagiza hakukosea kabisa! Gizani kwa miaka 9 au hata zaidi! Shuhudia hasara kwa makampuni ya simu! Yote hii kumridhisha malaika Mkuu na Bashite wa Kolomije na siri zao nzito!
Acha tu shem hali si hali kwa kweli. Tanzagiza aliona mbali................ na huyu baba hashindwi ati.
 
Hii taarifa imeisha kanushwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais kupitia Twitter.

msigwa1.jpg


Nadhani aliyeandika hii barua ni yuleyule aliyeandika hii barua feki kwa sababu aina ya uandishi unafanana.

Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) inawabidi wafanye kazi kwa kutumia dhana ya ''proactive'' ili kuendana na mazingira ya tekinologia nchini ambayo yanawawezeshesha baadhi ya watu kutumia ''ujinga'' wa baadhi ya watanzania ili kufanikisha ajenda zao.

Wanjigi-Jimmy.jpg
 
Hata yesu alisema "wasipo pigakelele hawa basi mawe yatapaza sauti" sasa mkiona mzime mtaona tutakako ibukia kama maji vile unaziba huku yanatoboa pale na kule.
 
Na afunge tu tutazoea na kutafuta namna nyingine ya mawasiliano, mbona ulivyofunga mikutano ya siasa ukajua umewini sasa nini kimekustua kwenye mitandao
 
Wao walituhaidi maendeleo watuletee maendeleo sio sisi tulete .. Wafanye walichotuhaidi na sisi tufanye yetu tusipangiane
Dada hapa umenipa kawazo kazuri kweli.

Ni kweli tuliahidiwa kuletewa maendeleo na sio watutegemee sisi tulete maendeleo.

Huyu atakuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa chuki na visasi.

Watanzania wanataka kuona Tanzania ya viwanda na siyo Tanzania ya viwonder kama tulivyoahidiwa hapo awali.

Watanzania hawakumpa kura kuja kufungia mitandao ya kijamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom