Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 494
Umetafuta namna ya kufikisha taarifa. Hata wewe kwa Mkulu unahesabika ni mchochezi tu
Acha tu shem hali si hali kwa kweli. Tanzagiza aliona mbali................ na huyu baba hashindwi ati.Na ikifungwa kufunguliwa tena labda ni 2025!! Duh! Aliyeibuka na Tanzagiza hakukosea kabisa! Gizani kwa miaka 9 au hata zaidi! Shuhudia hasara kwa makampuni ya simu! Yote hii kumridhisha malaika Mkuu na Bashite wa Kolomije na siri zao nzito!
Kama ikitokea mitandao ikafungiwa, Mungu ataleta namna nyingine ya watu wake kuwasiliana. Kuna namna nyingi tu za kuwasiliana. Hata kukaa kimya ni kuwasiliana pia.
Dada hapa umenipa kawazo kazuri kweli.Wao walituhaidi maendeleo watuletee maendeleo sio sisi tulete .. Wafanye walichotuhaidi na sisi tufanye yetu tusipangiane