Elections 2010 Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997

Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na mkutano wa Dr. Slaa mapema leo.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana. Mungu asikilize kilio chetu ili taifa letu lizaliwe kwa mara ya pilii.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MJJ,
Huko kukatika umeme sio kawaida wala nini hawataki watu wapate habari za mwisho mwisho za mkutano wa leo...hususani wale wakazi wa Mbeya ambao hawakupata muda wa kwenda pale ktk uwanja wa ccm kumuona dokta wa ukweli.Hata hivyo Sugu lazima apite hapo Mbeya,yule Mpesya hata ccm wengine hawampendi!!
 
Mwanakijiji,
Asante sana kwa kutuunganisha live kwenye taarifa hii. Hakika CHADEMA inatisha. umati wa Mbeya unaonyesha jinsi gani wananchi walivyokuwa na kiu ya mabadiliko katika nchi hii. Mungu ibariki Tanzania.
 
Wamesahau kua kura tunapiga mchana, au ndo wanaingiza zile kura feki sasa
 
Mkuu ukibahatika na kesho tuwekee taarifa ya habari japo ya mchana au utakazo bahatika.
 
Matukio kama haya ya kukatika kwa umeme ni hujuma za makusudi.
Tuendele kuomba saa ya ukombosi wetu ni kesho.

God bless you all.
 
CCM wanapotoa amri umeme ukatwe...(kama inahusiana...) wasifikiri kwamba wanawakomoa wananchi na kuwaonyesha joto ya jiwe kama wataichagua CHADEMA. IN fact kitendo hiki kinawaudhi zaidi na kuwapa hamasa wananchi kwenda kuwang'oa hiyo kesho
 
Mbona yule shekhe kama vile ni mtoto mdogo (macho yangu!?)...mbona dua ya kuombea ''uchaguzi'' ghafla ikawa ya kumuombea Kikwete?? well...nisitoke nje ya mada. Thanks Mwanakijiji
 
Eebwana weee!!!.... Dr. Slaa ni bonge la bouncer vile vile nini??... mike nne mkononi kwa zaidi ya saa bila kudondosha??!!:smile-big:
 
watu wataamua kesho na kikwete aisome ikulu kwenye magazeti kuanzia novemba
 
Huyo mgombea urais wa Tadea kwa upande wa Zanzibar ngangari kweli!
 
Tunashukuru sana MJJ.Tunaomba kama inawezekana utuwekee hizi taarifa kila mara hasa ktk kipindi hiki cha uchaguzi
 
Enzi hizi za simu kukata umeme ni kupoteza muda maana habari zinasafiri kuliko Mwanga (Muulize Mwiba kipenzi cha JK anajua hilo). Ahsante MJJ
 
Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na mkutano wa Dr. Slaa mapema leo.

Mwanakijiji,

Kazi kweli kweli, naona umeamua kukata sehemu ya kampeni za CCM hapo Jangwani?
 
Last edited by a moderator:

Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na mkutano wa Dr. Slaa mapema leo.

Ni kweli. Mimi nimefuatilia na kweli umeme umekatwa, baadaye ukarudi na kisha kukatika kwa muda mrefu. hata hivyo, Dr. Slaa hayupo mjini humo (Mbeya) maana ameondoka kuelekea Karatu ambako atapiga kura hapo kesho. Labda wanataka kuingiza masanduku ya kura feki wakati huu wa giza.
 
Last edited by a moderator:

Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na mkutano wa Dr. Slaa mapema leo.

Shibuda anatisha lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom