Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

Tuache ushabiki wa chama, tujadili hoja! L.nyerere inasemekana
1. Anakabiliwa na kesi saba, hakuna mtu anayejua ni kesi zinahusu nin?
2.ana uraia wa nchi mbili.
3.ana ishi marekan.
Hayo yote ni tuhuma, hakuna mwenye ushaidi/uwakika kama ni kweli au la. Cha msingi ili kuondoa sitofahamu, ni bora yeye/cdm watoe majibu au maelezo.
Traffic citation siyo kesi hizo acha ushamba .Mtu aliyeendesha gari Marekani anaweza kupata parking ticket hata Obama anazo. Wewe mshamba sana na itakuwa vigumu sana kwako kuelewa.Leticia hana uraia wa nchi mbili acha uzushi wa kiswahili.Leticia haishi Marekani isipokuwa aliwahi kuishi huko miaka mingi kabla ya kurudi Tanzania 2009.Kama hujui jambo uliza badala ya kuanza uzushi.
 
Asijitambulishe kwa jina la Nyerere, hana hadhi please!!!!!
Maskini kumbe ni wivu wa jina unakusumbua,pole sana.Nitaongea na Andrew akuoe ili nawe uitwe mama Nyerere maana ndiye ambaye hajaona katika watoto wa mwalimu.Kumbe tatizo siyo Leticia bali jina linakuuma. Maskini wa Mungu ndiyo maana una roho mbaya maana hujidhamini wewe mwenyewe badala yake unadhamini majina ya watu wengine. Too bad!
 
Traffic citation siyo kesi hizo acha ushamba .Mtu aliyeendesha gari Marekani anaweza kupata parking ticket hata Obama anazo. Wewe mshamba sana na itakuwa vigumu sana kwako kuelewa.Leticia hana uraia wa nchi mbili acha uzushi wa kiswahili.Leticia haishi Marekani isipokuwa aliwahi kuishi huko miaka mingi kabla ya kurudi Tanzania 2009.Kama hujui jambo uliza badala ya kuanza uzushi.

Hyena, soma vizur! Usikurupuke.
 
...Yaani imefikia kuchafuana kiasi hiki!? Watu wana roho mbaya sana...Duh!

Sio watu ni ccm wana roho mbaya kwa hizi njama zao ambazo wanazifanya ingekuwa wameifanya hapa tz na mahakimu njaa wangekua amezifanikisha ila kwavile wenzetu USA wako makini kusimamia haki za watu na mahakama ziko huru!
 
- Tena wanapinga hayo kufanyika ndani ya CCM tu, ila wakija kwao ni sawa kumbe unajua hili? Sawa sawa kwa mara ya kwanza kuona member anayejua ukweli!

William.
Nyerere wako wangapi Chadema? au bado una-stress za kuukosa ubunge, una hangika kujikosha uonewe huruma pole sana...Arumeru mlimpa Sioi ili akalishe familia aliyoachiwa na baba yake haya yanafanyika kwenye chama gani kingine?
 
Tuache ushabiki wa chama, tujadili hoja! L.nyerere inasemekana
1. Anakabiliwa na kesi saba, hakuna mtu anayejua ni kesi zinahusu nin?
2.ana uraia wa nchi mbili.
3.ana ishi marekan.
Hayo yote ni tuhuma, hakuna mwenye ushaidi/uwakika kama ni kweli au la. Cha msingi ili kuondoa sitofahamu, ni bora yeye/cdm watoe majibu au maelezo.
Tafuta ukweli kwanza ndiyo uje siyo tujadili hisia zako na umbea....
 
Chadema wanasema kesi ilikuwa ya kutengenezwa naomba kuuliza maswali machache hapa

1. Kama wanajua ya kutengenezwa nani aliitengeneza si watuambie?
2. Je makosa kama Tresspassing ni jinai au sio jinai huko marekani? kama jibu ni NDIO sasa hapo swala la kutengenezwa kesi linakujaje?
 
Nyerere wako wangapi Chadema? au bado una-stress za kuukosa ubunge, una hangika kujikosha uonewe huruma pole sana...Arumeru mlimpa Sioi ili akalishe familia aliyoachiwa na baba yake haya yanafanyika kwenye chama gani kingine?

- Vincent Nyerere & Leticia Nyerere, au unasema je?

William.
 
Tafuta ukweli kwanza ndiyo uje siyo tujadili hisia zako na umbea....

Leticia nyerere, kula tanzania kulala marekan. Kaazi kwelikweli, sijui tumwamin nan! Bora hoja ya mgombea binafsi ipitishwe.
 
Hawa CDM siku zote ndio huwa wanapinga watoto wa viongozi kushika madaraka. Sasa nashangaa ndani ya CDM majina ya Nyerere yametawala.

Mimi nadhani si suala la viongozi, nadhani issue kwa kuwa wengi ni mafisadi kwa hiyo watu hawataki watoto wa mafisadi maana nao wana reflect image ya wazazi wao.
WATOTO WA MAFISADI HAWATAKIWI!
 
- Tena wanapinga hayo kufanyika ndani ya CCM tu, ila wakija kwao ni sawa kumbe unajua hili? Sawa sawa kwa mara ya kwanza kuona member anayejua ukweli!

William.

William, Nafikiri Tatizo sio watoto wa Viongozi kuwa viongozi na wao. Tatizo linalolalamikiwa ni "mbeleko". nafikiri umenielewa. Kama CDM walitumia upendeleo kumpa Leticia ubunge hilo ni kosa. Ila nafikiri vigezo viliwekwa wazi na Dkt: Kitila Mkumbo kama msimamizi wa zoezi hilo. Mimi binafsi sipendi hiyo tabia. Wapo watoto wa viongozi wanafanya vizuri na wewe ni shahidi, ila wapo wengi tu waliobebwa wamekuwa ni mzigo kwa taifa letu.
 
Back
Top Bottom