kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,057
- 2,163
Go Go Go G o MAGUFULI go !
ndugu yangu inaonekana huna tabia ya kujali muda wakoUkiwa na vyeti halali ulivovilowekea miguu kwenye beseni huna tatizo waje mchana au usiku alfajiri au jioni alasiri au adhuhuri,nyumbani au ugenini kanisani au msikitini mjini au kijijini. Njooni fasta
wewe ndio hujaelewa, hiyo barua ina makosa ya kimantiki-badala ya neno ualimu hapo angeweka vyeti vya kitaaluma kuwa-accomodate watumishi wote wa umma, la sivyo hii barua inawalenga walimu pekee,
Eti kwa "Walimu" na watumishi wengine wa umma. Hii kada ya Ualimu mmmmh
Yah:Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 na Ualimu kwa watumishi wa Umma nchini.
Umeelewaje hapo kwanza? Kwanza kabla hatujaja kwenye ujumbe wenyewe
Hajaielewa barua hiyo vizuri tafadhari.
Hamjaelewa.....walimu wa diploma/certificate wanafanya mtihani unaoandaliwa na NECTA
Soma barua inaeleza mini, tusiwe wavivu kusoma
Wakitoka tu NECTA tutasikia nao NACTE wanataka kuhakiki vyet...... wamekuchagua wenyewe MAGU wanyooshe mpaka bas ayaaaa weeeeeeee ayaa weeeeeeeeee
Watumishi wote wakiwemo walimu,wauguzi,mabwana afya,mainjinia,mabwana shamba,maendeleo jamii,Madaktari n.k watakaguliwa vyeti vyao vya elimu ya sekondari (o-level na a-level) kwa sababu vyeti hivi chini ya NECTA.Baadhi ya vyeti vya kitaaluma vya walimu ambao hawakusoma vyuo vilivyo chini ya NECTA kama UDSM,TUMAINI,KAMPALA University n.k NECTA hawatavikagua kwa kuwa mitihani na utaoji wa vyeti hivi hausimamiwi na NECTA. Walimu watakaoguliwa vyeti ni wale ambao vyuo walivyosoma viko chini ya nectaKwani madactari hawana vyeti kwann wasiseme na vyeti vya madactar
Tukisha kaguliwa hivi inafuata uhakiki wa vyeti vya ndoa maana hata hivyo vya ndoa vpo ambavyo ni feki